Kwa hiyo kama Katibu mkuu ameondolewa kwenye nafasi yake aendelee kulipwa mshahara wa ukatibu mkuu??Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo. Binafsi sikubliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu. Wahe. Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo. Binafsi sikubliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu. Wahe. Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Yani mfano kama mtu alikuwa mwalimu akateuliwa kuwa DED anakuwa anakula M 3 na malupulupu kibaoooo.Sasa ikatokea paaap akatenguliwa basi anarudi kwenye laki 7 badala ya M 3Mfano ki vipi yaani!!?
Unakuta kwa mfano mtumishi ni Principal Officer anayepata mshahara wa TGS H6 then anateuliwa kuwa Mkurugenzi ambaye mshahara wake say ni LSS 3. Ina maana huyu Mkurugenzi siku ukurugenzi wake ukitenguliwa Mwigulu anapendekeza arudi kupokea TGS H6 yake, asiendelee na huo wa ukurugenzi.Mfano ki vipi yaani!!?
Hii mbona nzuri sana. Kumbe ilikuwa wakitenguliwa wanaendelea kula mishahara minono?Yani mfano kama mtu alikuwa mwalimu akateuliwa kuwa DED anakuwa anakula M 3 na malupulupu kibaoooo.Sasa ikatokea paaap akatenguliwa basi anarudi kwenye laki 7 badala ya M 3
Je. Hii ni sawa na kwa wale wanaoondolewa na wananchi ama sheria? Mfano wale, waziri Mkuu, Speaker, au hata Rais wakati wa uchaguzi?Kwa hiyo kama Katibu mkuu ameondolewa kwenye nafasi yake aendelee kulipwa mshahara wa ukatibu mkuu??
Waziri yupo Sahihi haiwezekani Mtu alikuwaNimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu.
Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Vurugu kivipi mkuu hiyo ni sahihi kabisa.Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu.
Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.