Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Halmashauri zipo 184,na Wakurugenzi ni 184.Huwezi kuwa na nchi ina wakurugenzi 700 na wakati halmashauri zipo 184 tu
Taasisi za umma zipo karibu 210 na kila Taasisi INA wastani wa Wakurugenzi 5-7 hapo kuna Wakurugenzi 1050,na hapo bado kuna Managers
Kuna Wizara takribani 20 piga wastani wa Wakurugenzi 14-20 kwa kila Wizara