Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

Kwaiyo ana waelewa wote co? Safi sana kwa kupiga ndege wawili kwa jiwe moja
 
fid n jmaa mwnye kjitahd kufkr kw kazi yke na nafasi alyonayo iklinganisha na weng wliobak.... kiukwel nakbaliana n mchango wa kisaikolojia ktika kuleta impact sehem mbalimbali.... hof n sababu ya ugonjwa pia..... so jamaa c genius kw maana ya genius ila ana upekee flan miongon mw jamii y sanaa tuliyonayo.... am out
 
"Sikuumbwa nije bweteka for less, naisubiri mvua nijitokeze kudance" Fid Q
 
 
Mfano wa genius ni Ramanujan

Soma habari zake, tafuta kitabu au movie yake "The Man Who Knew Infinity".

Jamaa amefariki 1920 mpaka leo wanahesabu wanahangaika kukokotoa na ku prove theories zake, karibu miaka 100 imepita.

Waliona taxi yenye namba 1729 na mkali mwenzake wa hesabu Hardy, akaelezea jinsi hiki kichwa kilivyokuwa kama computer

Hardy alisema

"I had ridden in taxi cab number 1729 and remarked that the number seemed to me rather a dull one, and that I hoped it was not an unfavorable omen. "No," he replied, "it is a very interesting number; it is the smallest number expressible as the sum of two cubes in two different ways." "

How does a mere mortal know something like that off the bat like that?

Srinivasa Ramanujan - Wikipedia, the free encyclopedia

cc Nyani Ngabu
 
Fid q anajua bwana...ebu tafuta song la propaganda hlf niambie kila lyrcs aliyochana km ni nyepesi nyepesi km kiazi cha chips..fareed huwez kumuelewa km ww si mtu wa kushughulisha akili yako.
hilo ni song la kifalsafa,song litakaloishi miaka mia mbele
 
Unakunywa kinywaji gani mkuu bill juu yangu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Hupaswi kumwamini muongo hata kama akiongea ukweli.
 
kaniuliza kama nina demu nikamwambia sina mana alishawahi niona sehemu tatizo akasahau jina.
 
Ninacho kijua kwa Fareed ni m-bunifu na hupenda kutumia falsafa kwenye sanaa ya muziki

hana ubunifu wowote.
kama wewe sio msomaji wa vitabu vya kiswahili basi utaamini kuwa Huyo jamaa ni mbunifu, lakini kila anachokiandika kilishaandikwa na akina Andanenga.

jiulize ni msemo wake upi au methari au nahau iliowahi kuwekwa kwenye kumbukumbu kuwa hii ni Brand ya Fareed?
 
kwan Nani anaandika ambacho hakijawah andikwa
 
Kumbe anasoma vitabu, hii ni safi sana kwa msaniii ndio mana wewe huoni ni kitu kizuri kuwa alichojifunza vitabuni anakipresent vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…