Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
- Thread starter
- #41
Hongera mkuu nakufatilia Sana wewe ni MTU makini Unayeteka hadhira kwa urahisi
Nathamini sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu nakufatilia Sana wewe ni MTU makini Unayeteka hadhira kwa urahisi
One love RastaKila lakheri masta.
Umefanya vizuri kuondoka vizuri na kila la heri kwa changamoto mpya.
Imekaa vzr, so professional, laiti kila mtz, sehwmu alipo, angekua anaenenda hv
Mutual termination ni step mwajiri anaichukua ili asikulipe baadhi ya stahiki kwakua akifanya termination itabidi akulipe au anakwepa kupelekwa vyombo vya sheria kwa unfair termination.
Mwajiri anakua hataki kufanya kazi na wewe lakini hataki pia kuingia gharama kuuheshimu mkataba.
Vyovyote iwavyo ndiyo maisha yalivyo
Watu wa Soka,
Umofia kwenu.
Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama Msemaji na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano.
Kuweka rekodi sawa tu, sijafukuzwa kazi wala hapakuwahi kuwepo mgogoro wowote kati yangu na Klabu. Nimefanya kazi kwa weledi na uadilifu ili kufikia maono ya klabu katika eneo la kuisemea, kujenga mahusiano chanya na kuiweka timu karibu na wadau.
Kilichotokea ni makubaliano tu ya kuvunja mkataba na tulifikia makubaliano hayo pande zote mbili. Hivyo nilipata baraka zote kutoka kwa uongozi wa klabu.
Kwa sasa nipo mbioni kusaini mkataba na klabu nyingine kubwa ambako naenda kutumia ujuzi na uzoefu nilioupata kama nilivyoeleza kwenye taarifa yangu kwa umma niliyoitoa tarehe 05/05/2024.
Asanteni.
View attachment 2996745
Yupo sahihi, ana mission yake pia. Kutambua umuhimu wa jambo alilofanya inategemea na upeo wa mtu, mwingine (kama wewe) inawezekana unashangaa kabisa na huoni kabisa kama kulikuwa na haja.HATA HATUKUWA TUNAJUA KUWA UPO SINGIDA WALA UMETOKA. WEWE HUNA IMPACT HATUKUFAHAMU NA HATUONI TOFAUTI YOYOTE. NADHANI UMEJISHTUKIA TU NA KUJA NA HUU UZI. HAKUNA ANAYEKUFAHAMU.
Mimi swali langu ni moja tu kwani nyie timu za mikoani malengo yenu yanakuwa nini?Watu wa Soka,
Umofia kwenu.
Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama Msemaji na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano.
Kuweka rekodi sawa tu, sijafukuzwa kazi wala hapakuwahi kuwepo mgogoro wowote kati yangu na Klabu. Nimefanya kazi kwa weledi na uadilifu ili kufikia maono ya klabu katika eneo la kuisemea, kujenga mahusiano chanya na kuiweka timu karibu na wadau.
Kilichotokea ni makubaliano tu ya kuvunja mkataba na tulifikia makubaliano hayo pande zote mbili. Hivyo nilipata baraka zote kutoka kwa uongozi wa klabu.
Kwa sasa nipo mbioni kusaini mkataba na klabu nyingine kubwa ambako naenda kutumia ujuzi na uzoefu nilioupata kama nilivyoeleza kwenye taarifa yangu kwa umma niliyoitoa tarehe 05/05/2024.
Asanteni.
View attachment 2996745
Mkuu usemaji si ni ajira? Kwa nini uweke msimamo wa "kiSimba na Yanga". Unaweza kuweka sababu ya huu msimamo?
Yupo sahihi, ana mission yake pia. Kutambua umuhimu wa jambo alilofanya inategemea na upeo wa mtu, mwingine (kama wewe) inawezekana unashangaa kabisa na huoni kabisa kama kulikuwa na haja.
Kuna kiongozi mmoja wa chama cha soka nchini aliachiwa huru kutoka kifungo cha jela kwa msamaha wa Rais, lakini pamoja na kuwa huru aliendelea na mchakato wa rufaa ya kesi hiyo, na akaja kushinda. Wapo wenye upeo mdogo wa mambo walimshangaa hivyo hivyo, lakini yeye na wenye akili walijua kwa nini amekata rufaa
Vipi kuhusu Singida black
Sema haumfahamu. Wapenda soka wanamfahamuNi wewe kwa ID nyingine? Hatumfahamu
Watu wa Soka,
Umofia kwenu.
Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama Msemaji na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano.
Kuweka rekodi sawa tu, sijafukuzwa kazi wala hapakuwahi kuwepo mgogoro wowote kati yangu na Klabu. Nimefanya kazi kwa weledi na uadilifu ili kufikia maono ya klabu katika eneo la kuisemea, kujenga mahusiano chanya na kuiweka timu karibu na wadau.
Kilichotokea ni makubaliano tu ya kuvunja mkataba na tulifikia makubaliano hayo pande zote mbili. Hivyo nilipata baraka zote kutoka kwa uongozi wa klabu.
Kwa sasa nipo mbioni kusaini mkataba na klabu nyingine kubwa ambako naenda kutumia ujuzi na uzoefu nilioupata kama nilivyoeleza kwenye taarifa yangu kwa umma niliyoitoa tarehe 05/05/2024.
Asanteni.
View attachment 2996745
Taarifa hii ilitakiwa itolewe na mwajiri wako (huyo wa zamani), na sio wewe mwajiriwa. Vinginevyo itakuwa vigumu kuamini kama ulifukuzwa au mlivunja mkataba kwa makubaliano
Ihefu haipo kuna singida black stars ko huwezi kusemea timu ambayo haipo upo sahihi hivyo bado unayo nafasi ya kuisemea singida black stars
Sikufaham, sikujui, wala sijajua una mgogoro, wewe sio mkubwa kama unavyojiwazia.
HATA HATUKUWA TUNAJUA KUWA UPO SINGIDA WALA UMETOKA. WEWE HUNA IMPACT HATUKUFAHAMU NA HATUONI TOFAUTI YOYOTE. NADHANI UMEJISHTUKIA TU NA KUJA NA HUU UZI. HAKUNA ANAYEKUFAHAMU.