Sikufukuzwa kazi Singida Fountain Gate, nilivunja mkataba kwa makubaliano

Mutual termination ni step mwajiri anaichukua ili asikulipe baadhi ya stahiki kwakua akifanya termination itabidi akulipe au anakwepa kupelekwa vyombo vya sheria kwa unfair termination.

Mwajiri anakua hataki kufanya kazi na wewe lakini hataki pia kuingia gharama kuuheshimu mkataba.

Vyovyote iwavyo ndiyo maisha yalivyo
 

Mimi ndio niliwasilisha ombi la kuvunja mkataba amicably na uongozi haukutaka nilipe gharama yoyote kwahiyo imekuwa fair mutual termination.
 

HATA HATUKUWA TUNAJUA KUWA UPO SINGIDA WALA UMETOKA. WEWE HUNA IMPACT HATUKUFAHAMU NA HATUONI TOFAUTI YOYOTE. NADHANI UMEJISHTUKIA TU NA KUJA NA HUU UZI. HAKUNA ANAYEKUFAHAMU.
 
HATA HATUKUWA TUNAJUA KUWA UPO SINGIDA WALA UMETOKA. WEWE HUNA IMPACT HATUKUFAHAMU NA HATUONI TOFAUTI YOYOTE. NADHANI UMEJISHTUKIA TU NA KUJA NA HUU UZI. HAKUNA ANAYEKUFAHAMU.
Yupo sahihi, ana mission yake pia. Kutambua umuhimu wa jambo alilofanya inategemea na upeo wa mtu, mwingine (kama wewe) inawezekana unashangaa kabisa na huoni kabisa kama kulikuwa na haja.

Kuna kiongozi mmoja wa chama cha soka nchini aliachiwa huru kutoka kifungo cha jela kwa msamaha wa Rais, lakini pamoja na kuwa huru aliendelea na mchakato wa rufaa ya kesi hiyo, na akaja kushinda. Wapo wenye upeo mdogo wa mambo walimshangaa hivyo hivyo, lakini yeye na wenye akili walijua kwa nini amekata rufaa
 
Mimi swali langu ni moja tu kwani nyie timu za mikoani malengo yenu yanakuwa nini?
 

Ni wewe kwa ID nyingine? Hatumfahamu na hatujui kama alifukuzwa au aliacha coz hakuna tofauti.
 


Sikufaham, sikujui, wala sijajua una mgogoro, wewe sio mkubwa kama unavyojiwazia.
 
Taarifa hii ilitakiwa itolewe na mwajiri wako (huyo wa zamani), na sio wewe mwajiriwa. Vinginevyo itakuwa vigumu kuamini kama ulifukuzwa au mlivunja mkataba kwa makubaliano

Sifikirii taarifa yake inamzuia mwajiri wake wa zamani kuelezea kilichotokea, kama ni tofauti na alichokiandika. Ana haki ya kutoa taarifa, ameelezea kwamba, amefikia haya maamuzi baada ya maswali na mijadala mingi kuhusu maamuzi yake ya kuondoka kwenye hiyo club.
 
Jicho la mwerevu huona jambo kabla ya kutokea (Wahenga walisema).

Ukweli ni kwamba, ulipiga picha. Ukaona Singida FG, inaenda kupitia hali ngumu hapo baadae.

Kabla ya msimu kutamatika, ukajitoa na kujiweka sokoni. Wewe ni kama parachichi linalotamani kuliwa. Wakati bado halijaiva, likaamua kujidondosha liminywe minywe mpaka litakapoiva.

Nakutakia kila la kheri kwenye majukumu yako mapya Singids BS.
 
HATA HATUKUWA TUNAJUA KUWA UPO SINGIDA WALA UMETOKA. WEWE HUNA IMPACT HATUKUFAHAMU NA HATUONI TOFAUTI YOYOTE. NADHANI UMEJISHTUKIA TU NA KUJA NA HUU UZI. HAKUNA ANAYEKUFAHAMU.

Aisee Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi kwenye gumu lolote unalopitia Mkuu Komeo Lachuma! Mtu wa maana kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…