Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Ppole sana.Wakuu,
Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.
Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .
Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Hadi kesho mchana utakuwa umepata solution, chekecha akili na utafute options zilizopo mezani, ukijipa stress ndio unazidi kujipoteza.Yuko mbali
Kama hayakusumbui sababu yako ndani ya uwezo wako. Yaani rejesho halikupigi chenga...Ni utoto unawasumbua, mimi madni hata hayaniumizagi kichwaa wlaaa
Kwakweli deni haliwezi kuninyima usingizi isee..kwanza deni halifungi mtu.Wakuu,
Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.
Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .
Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Hapana huo sio utu uzima,huo wsko ni utoto bado.Wakuu,
Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.
Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .
Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Hatari kweli kweliMadeni ni hatari sana usiombe ikukute
USSR