Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Wakuu,

Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.

Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .

Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Ppole sana.

Nipo hapa kukusaidia.

Njoo PM.
 
Hongera bado ni binadamu mwenye utu..., Ukianza kuzoea kuchukua pesa za watu na bila kujali pale unapowakwamisha utakuwa hauna tofauti na Jambazi yoyote yule....

Sadly sasa hivi watu wengi ndio wamekuwa hivyo hawajali wanapowakwamisha wengine..., Ila kwa marefu na mapana watu wengi vipato havitoshelezi hivyo kama jamii tunazidi kuingia kwenye matatizo kila leo (kama jamii credit economy ni janga kubwa)
 
Hii situation ngumu mno
Usingizi hauji wala nuru usoni haionekani
Ni shida,mi natamani hata nishinde bet milioni 1 tu nimalize haya madeni mana si mchezo hizo stress
 
Wakuu,

Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.

Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .

Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Kwakweli deni haliwezi kuninyima usingizi isee..kwanza deni halifungi mtu.
 
Wakati unapokea mkopo ulikua unaona raha eeeh. Kama huna akili ya kuzungusha pesa uliyokopa ni sawa na kujitafutia umasikini
 
Hapo kwa sehemu kubwa utakuta ni yale madeni ya kuanzisha kikundi na kukopeshana kila mwezi, au ni madeni ya vicoba! Na kama siyo hivyo, basi ni mkopo wa kausha damu!

Ukiwa katika kipindi hicho, kichwa lazima kitawaka moto.
 
Lala wewe deni dogo hilo, watu tuna madeni ya 100+m na tunalala mpaka saa 2 asubuhi
 
Wakuu,

Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.

Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .

Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Hapana huo sio utu uzima,huo wsko ni utoto bado.

Ukiwa mtu tayari unalala vi,uri huku unadaiwa na watu huko nje.

Usijali mkuu utazoea na itafikia hatua unatamani ukamkope anayekudai ili ulimpe yeye yeye deni la mwanzo.
 
Alafu unaona ssiku zinakatika kwa kasi yaani ukisinzia kidogo tu kumepambazuka na kipindi hiki ndo unaota ndoto za kukutia stress yaani unaota umepata deal la fedha nyingi na kupata tumaini usingizini ila usingizi ukikata tu unagundua ndoto Kisha mawazo as usual yaani kama mtu anaelewa kupunguza mawazo alafu pombe ikikata wembe ni ule ule
 
Back
Top Bottom