Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Pole kwa wifi..hyo ni hatari...japo anaweza kuonekana yupo normal anafanya kazi zake n.k ila humo ndani injini imechemka hatarii...
Thanks a lot on behalf dear, tatizo ni msiri sana huwa hasemagi mpaka aje kusema basi ameshikwa sana yaani. MUNGU atusimamie tu my dear.
 
Thanks a lot on behalf dear, tatizo ni msiri sana huwa hasemagi mpaka aje kusema basi ameshikwa sana yaani. MUNGU atusimamie tu my dear.
Mungu ni mwema..atakaa vizuri kikubwa azingatie mlo..maji..mazoezi kidogo kidogo
..
 
Pole Sana, pambana na Lishe itakaa sawa binafsi nimepata Msaada mkubwa Sana na hawa wanaitwa Happy Gut ingia Facebook page utawapata utajifunza Lishe, kupambana na stress na mazoezi.
 
Hivi unajuaje kama una presha mkuu ?

Achilia mbali kutumia stethoscope kupima presha na kuona yale manambanamba je mbsli na hiko kipimo na hayo manamba ungrjijuaje kama una presha ?
 
Nani aliyekuongopea (140/89)mmhg pressure yako ipo juu?
 
Mkuu. BICHWA KOMWE - naomba uweke japo neno hapa kuhusu huu ugonjwa wa presha A.K.A hypertension.

Binafsi naona kama kuna kitu sikielewi kuhusu presha wanasema haina dawa ya kuponesha kabisaa ila dawa za kupunguza zipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…