MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,850
- 3,041
Thanks mkuu zitawafikia.Wape salam Nuru pamoja na Mama Yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks mkuu zitawafikia.Wape salam Nuru pamoja na Mama Yake
siyo jambo la kusifia, ndiyo wanaodondoka na kupata kiharusiPresha yako ni ya kawaida sana hiyo, mshukuru Mungu. Kuna watu wanatembea na presha ya 170/90 miaka kibao na wako sawa tu
Chumvi jau.Hapana nashindwa kuelewa tatizo nini ila ni mtu wa mawazo kiasi lakini pia anapenda chumvi na ana body Nene kiasi.
Pole kwa wifi..hyo ni hatari...japo anaweza kuonekana yupo normal anafanya kazi zake n.k ila humo ndani injini imechemka hatarii...Yes my dear...!
Jay sana mkuu...!Chumvi jau.
Thanks a lot on behalf dear, tatizo ni msiri sana huwa hasemagi mpaka aje kusema basi ameshikwa sana yaani. MUNGU atusimamie tu my dear.Pole kwa wifi..hyo ni hatari...japo anaweza kuonekana yupo normal anafanya kazi zake n.k ila humo ndani injini imechemka hatarii...
Una kitu ulikula (wanaita Electrolyte) ndio kimeleta changamotoNimepima ECG Niko vizuri,,,,nimepewa Dawa za Aina mbili
Mungu ni mwema..atakaa vizuri kikubwa azingatie mlo..maji..mazoezi kidogo kidogoThanks a lot on behalf dear, tatizo ni msiri sana huwa hasemagi mpaka aje kusema basi ameshikwa sana yaani. MUNGU atusimamie tu my dear.
Pole Sana, pambana na Lishe itakaa sawa binafsi nimepata Msaada mkubwa Sana na hawa wanaitwa Happy Gut ingia Facebook page utawapata utajifunza Lishe, kupambana na stress na mazoezi.Habari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
Ndiyo...apunguze mwili na mafutaUkimaanisha kusaidia kupunguza mwili mkuu...?
Kama unapenda mazoezi, wik end amka nae mdogo mdogo mpaka atazoea, mimi muumini sana wa mazoezi kuliko kuuzoesha mwili na madawa.Jay sana mkuu...!
Na Hua napendelea kweli kunywa Pepsi au grandmaltaUna kitu ulikula (wanaita Electrolyte) ndio kimeleta changamoto
Mfano redbull,baadhi ya pain killers,caffeine zozote,etc....ni kama allergy hivi.....usile or drink these shits
Msingi maisha yaende na mkono uende kinywani.Presha yako ni ya kawaida sana hiyo, mshukuru Mungu. Kuna watu wanatembea na presha ya 170/90 miaka kibao na wako sawa tu, wanapambana nayo aste aste
Hivi unajuaje kama una presha mkuu ?Shukran sana kiongozi, tatizo ni msiri sana kuna vitu huwa mgumu kuvisema hata kama vinamuumiza deep inside.
Mpaka hali iwe mbaya sana ndio utakuta anakueleza hilo jambo mkuu. Binafsi huwa anasema yeye yupo sawa tu ila akienda kupimwa unakuta hayupo sawa kabisa, siku akisema hayupo vizuri basi anakuwa kwenye hali mbaya na huwa anamaanisha kabisa.
Nani aliyekuongopea (140/89)mmhg pressure yako ipo juu?Habari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
Lakini kwa hivyo vinywaji unakaribisha tatizo jingine la kisukari. Jiepushe na vinywaji vyenye sukari kwa wingi ni hatari kwa Afya yako.Na Hua napendelea kweli kunywa Pepsi au grandmalta
Na mara nyingi inatokana severe bleeding ambayo inapelekea mpaka kupata shock.Presha ya kushuka ni jambo hatari, mara nyingi ni medical emergency.