Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

Wewe uliojufunnza unataka kurekebisha.

Yeye aliyojifunza anataka kuendeleza maana ndio anataka atumie kama defence mechanisma dhidi yako.

So ndugu hakikisha kama upo 27-38, oa binti alie 18- 23.

UTANISHUKURU.
Mkuu kuna wadada wa miaka 17 wana watoto wawili baba tofauti.

Kwahiyo miaka 23 anaweza kuwa kashadate wanaume saba
 
Leo kumeshamiri sana NYUZI za maelekezo kuhusu kupendana na kuhusiana......sijui nini kinaendelea huko kwenye malavi Davi.....
20250912_222427.jpg
 
Hapana,hatunashida kabisa mkuu,tatizo ni tupo kwenye level ya unabaki sawa,unaondoka sawa!
Hii mbaya sana kwa pande zote mbili maana mapenzi ni kubembelezana ...
Lakini ni watu poa sana kama utaishi nasi kama vile unaishi na Baba levo 🤒
 
Hapana,hatunashida kabisa mkuu,tatizo ni tupo kwenye level ya inabaki sawa,unaondoka sawa!
Hii mbaya sana kwa pande zote mbili maana mapenzi ni kubembelezana ...
Lakini ni watu poa sana kama utaishi nasi kama vile unaishi na Baba levo 🤒
Tuzingatie zaidi kwenye kuishi na nyie sawa sawa na kuishi na Babalevo
 
Nasisitiza.

Wahenga walisema Tuoe Bikra.
Bikra hamna . Basi tuoe ambao hawajakuwa used sana. .na ndio hao 18-22 yrs.

Oa mwanamke ambaye vitu ving utamuelekeza ww.
Na ndio Atakuheshimu.

Tena kama huna kipato.
Usithubutu kuoa hawa ambao washakuwa na mahusiano 20+.
 
Back
Top Bottom