wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Hujui kufanya hesabu weweMkuu kuna wadada wa miaka 17 wana watoto wawili baba tofauti.
Kwahiyo miaka 23 anaweza kuwa kashadate wanaume saba
Hujui kufanya hesabu weweMkuu kuna wadada wa miaka 17 wana watoto wawili baba tofauti.
Kwahiyo miaka 23 anaweza kuwa kashadate wanaume saba
Ndo maana nimemwambia hapa anajidanganya tu watt wa sshv noma si mjini wala kijijini ...Sasa kama umri huo anaweka vijiti itakuaje akifika miaka 30 ambapo ndio utamuoa? Huyo uliemkuts hapo labda kaanza akiwa na miaka 16 sasa unapomsubiri afike miaka 30 sura ya chini inakuaje
Hapa mtaa nilipoHuu ni ukwel.mchungu halaf unakuta tayar ni single maza
HahaaaSa itakuaje
Anyway wamekusikia ila sio watekelezaji