Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

Hakuna chemistry utakayotengeneza na mwanamke wa 30+ mwenye list ya maex zaidi ya 8. Huo umri mwanamke anapretend tu kukupenda kwa sababu wakati ushamtupa mkono. Uzuri ushaanza kuchuja, hapati attention ya wanaume kama zamani, menopause hii hapa. Hana namna zaidi ya kujishikiza kwa fala mmoja. Usikubali kuwa retirement plan mzee mwenzangu
Mkuu nondo zako huwa nazieewa sana
 
Dah! Kwa hisia sana imeandikwa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 , na masimp ndio wanapoelemewa hapo na kuwa PSPF
 
madogo kinachowapiga chenga ni maswala ya kipato (pato la mang'amung'amu)...vijana niwashaurini tafuteni pesa kwanza walau ndio muingie kwenye mtanange mbona mambo ni rahisi kabisa
 
Ndo maana kusema miaka 18 hadi 23 kwamba body count ni ndogo ni uongo
Exactly,kwanza watt wa sshv wanetupita mbali aisee🙌
Kwenye Kila kitu mpk kuwa na wanaume wakubwa form 1,2.. analala na wanaune za watu ,wanaume wakubwa🙄😳aisee SS mpk afike chuo?
Bado wimbi kubwa linalozalia home ni wadogo jmn🙌
 
Mi mzee wangu ni Dr,na ana hospital yake
Siku nimeenda nakuta watt wa form 1,2 wamepanga foleni nikajua wanaumwa
Naambiwa na manesi kuwa Hawa Huwa wanakuja kuweka vijiti😳, yaani nilichoka,SS endelea kujidsnganya na huo umri😂
 
Mkuu kuna wadada wa miaka 17 wana watoto wawili baba tofauti.

Kwahiyo miaka 23 anaweza kuwa kashadate wanaume saba
Msikilize bro acha kukaza fuvu wadada umri aliosema ni hatarii uwezi kubet wadada 27-38 ukafanikiwa wengi Di*ck ishawavuruga/ poor nidhamu kuliko 18-22 una chance ya kupata msichana mkajenga life .. ila sio kwamba ndo 100%..
 
Nasisitiza.

Wahenga walisema Tuoe Bikra.
Bikra hamna . Basi tuoe ambao hawajakuwa used sana. .na ndio hao 18-22 yrs.

Oa mwanamke ambaye vitu ving utamuelekeza ww.
Na ndio Atakuheshimu.

Tena kama huna kipato.
Usithubutu kuoa hawa ambao washakuwa na mahusiano 20+.
Hahaha bikra ni value kubwa kwa wadada ila wengi tunadhani ni fake data 😁😁😁
 
Mi mzee wangu ni Dr,na ana hospital yake
Siku nimeenda nakuta watt wa form 1,2 wamepanga foleni nikajua wanaumwa
Naambiwa na manesi kuwa Hawa Huwa wanakuja kuweka vijiti😳, yaani nilichoka,SS endelea kujidsnganya na huo umri😂
Sasa kama umri huo anaweka vijiti itakuaje akifika miaka 30 ambapo ndio utamuoa? Huyo uliemkuts hapo labda kaanza akiwa na miaka 16 sasa unapomsubiri afike miaka 30 sura ya chini inakuaje
 
Back
Top Bottom