Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

Tunachemistry yes....hayo mengine ya kusumbuana tutajuana mbele ya safari.

Hivi Shakara unaumri gani vile!
Hehehe... 😅😅😅 hiyo siri ya umri tutaifumbua mbele ya safari, sasa tuendelee na hii chemistry yetu kwanza 😉.
 
Nasoma nasaha mbalimbali hapa, nami naendelea kupata elimu. Kikubwa ni kwamba haya maisha hayafanani. Shida ya kuoa mapema ni kuchokana mngali mna nguvu bado. Yataka moyo sana kutoboa 55yrs kuelekea 70
 
Wengi hatutaki kumsikiliza Mungu juu ya hili, tunategemea akili zetu zitupe matokeo tunayotaka
 
Kiukweli siwezi kuwa kwenye mahusiano na binti kiazi asiye na uzoefu na akili inayonyumbulika.
 
Yani nikaoe kitoto cha 2003 kinachotaka kujaribu kila kitu? Hell no brother
 
23 - 10 = 13 ishi huko msubirie afike 15 hapo 17 mtoe bikra na hapo ndio serikali inakukaba koo inataka utombe tu ila usioe wala usimtie mimba 18 mpaka 20 yupo Chuoni anapigwa mashine
Dah nimecheka sana ila ndo ukweli.
 
Tunachemistry yes....hayo mengine ya kusumbuana tutajuana mbele ya safari.

Hivi Shakara unaumri gani vile!
Hakuna chemistry utakayotengeneza na mwanamke wa 30+ mwenye list ya maex zaidi ya 8. Huo umri mwanamke anapretend tu kukupenda kwa sababu wakati ushamtupa mkono. Uzuri ushaanza kuchuja, hapati attention ya wanaume kama zamani, menopause hii hapa. Hana namna zaidi ya kujishikiza kwa fala mmoja. Usikubali kuwa retirement plan mzee mwenzangu
 
Back
Top Bottom