Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
 
Baada ya kufeli maandamano, hicho ndicho kilichobaki........kusifia viingereza na blah blah zingine. Go, Mama Samia, good. Endelea kuwatimulia vumbi hivi vinabo. Na muda si mrefu wazalendo wenyewe tutaahza kuwashughulikia kabla ya askari.....yao tutawaruhusu wapumzike tu.
 
images (21).jpeg
 
Anatema madini, lakini vitendo ndio wale wale..
Viongozi wetu wa afrika wanafikiriq kuiba zaidi kuliko kuendeleza taifa.. kenya kwetu katuzidi kidogo maendeleo lakini sidhani kama maendeleo yale yanastahiki kujipiga kifua..
Kama sisi tuna marks 5 wao wana 13 ila wote ni F
 
Angalau umeongea point kuwazidi hao vinabo hapo juu wanaokaa kusifia sifia ujinga tu Ili muradi iwe inalenga kumdidimiza Samia. Halafu ni ukweli usiopingika kuwa, kimaisha ya kawaida, bongo Iko mbali sana ukilinganisha na Kenya. Hapo Nairobi wiki mbili kukaa ni nyingi mnooo.......lazima utajirudia zako bongo labda uwe mwajiriwa.
 
Hata London kukaa siku mbili ni nyingi mno, ndio ilivyo kwa miji iliyoendelea. Ukiona mji una elfu 10 mfukoni unaishi wiki nzima bila matatizo ujue bado mko kwenye maisha ya ki-peasant.
 
Kama sisi tuna marks 5 wao wana 13 ila wote ni F
Hii vipi ukiigeuza kwenye hatua... Mwenye hatua 5 na mwenye hatua 13 wanalingana?

Hiyo "F" Huyu wa 13 hata kama naye ana hiyo F hana tofauti na mwenye 5? Kwa nini hizo Namba zinatolewa kama ziko sawa?
 
Baada ya kufeli maandamano, hicho ndicho kilichobaki........kusifia viingereza na blah blah zingine. Go, Mama Samia, good. Endelea kuwatimulia vumbi hivi vinabo. Na muda si mrefu wazalendo wenyewe tutaahza kuwashughulikia kabla ya askari.....yao tutawaruhusu wapumzike tu.
Huyo mama uliyemtaja hapa Mimi simjui na Wala Uzi wangu haujamgusia huyo mama yako.
 
Baada ya kufeli maandamano, hicho ndicho kilichobaki........kusifia viingereza na blah blah zingine. Go, Mama Samia, good. Endelea kuwatimulia vumbi hivi vinabo. Na muda si mrefu wazalendo wenyewe tutaahza kuwashughulikia kabla ya askari.....yao tutawaruhusu wapumzike tu.
Wewe ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom