Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

Kibaki alikuwa sio mtu wa story lakini alifanya mengi ki-utendaji - Huyu maneno mingi ndio maana jina alipewa jina la Kasongo.....

Mwisho wa siku tusiangalie individuals bali tuangalie tunapata nini kwahio tuwe na systems na long term plans na kila kiongozi apimwe kwa kuweza kuhakikisha yaliyopangwa yamefikiwa
 
Hii vipi ukiigeuza kwenye hatua... Mwenye hatua 5 na mwenye hatua 13 wanalingana?

Hiyo "F" Huyu wa 13 hata kama naye ana hiyo F hana tofauti na mwenye 5? Kwa nini hizo Namba zinatolewa kama ziko sawa?
Kuna mwenye ka afadhalu kidogo ila ndio wale wale tu
 
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
6a64fb28-ad09-4f98-9886-853daa4b5386.jpeg
 
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Huyo anajua kuongea sana. Kufanya ndio inakuwanga shida kidogo.
 
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Mkuu, siku nyingine jaribu kufanya apple-to-apple comparison. Samia The Killer ni mbilikimo wa kila kitu. League yake ni ya timu za mchangani.😁
 
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Kwa hiyo ulitaka kumlinganisha Ruto na lile andazi?
 
Baada ya kufeli maandamano, hicho ndicho kilichobaki........kusifia viingereza na blah blah zingine. Go, Mama Samia, good. Endelea kuwatimulia vumbi hivi vinabo. Na muda si mrefu wazalendo wenyewe tutaahza kuwashughulikia kabla ya askari.....yao tutawaruhusu wapumzike tu.
Maandamano yamefeli lakini andazi limejificha mpaka leo! Unafikri linaogopa nini?
 
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.

Let me burst your bubble kidogo. 😂 😂
Ruto reads from 2 Teleprompters on both sides.

ruto.JPG
 
Back
Top Bottom