Kuna mwenye ka afadhalu kidogo ila ndio wale wale tuHii vipi ukiigeuza kwenye hatua... Mwenye hatua 5 na mwenye hatua 13 wanalingana?
Hiyo "F" Huyu wa 13 hata kama naye ana hiyo F hana tofauti na mwenye 5? Kwa nini hizo Namba zinatolewa kama ziko sawa?
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Huyo anajua kuongea sana. Kufanya ndio inakuwanga shida kidogo.Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Mkuu, siku nyingine jaribu kufanya apple-to-apple comparison. Samia The Killer ni mbilikimo wa kila kitu. League yake ni ya timu za mchangani.πWenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Kwa hiyo ulitaka kumlinganisha Ruto na lile andazi?Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Maandamano yamefeli lakini andazi limejificha mpaka leo! Unafikri linaogopa nini?Baada ya kufeli maandamano, hicho ndicho kilichobaki........kusifia viingereza na blah blah zingine. Go, Mama Samia, good. Endelea kuwatimulia vumbi hivi vinabo. Na muda si mrefu wazalendo wenyewe tutaahza kuwashughulikia kabla ya askari.....yao tutawaruhusu wapumzike tu.
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.