hivi alivyokataa intern ndipo alipoajiriwa na dr kariuki?
Oh, is it? Kwa hiyo anapokuta na makamanda for briefing, anapo husishwa kwenye tenda za kuagiza silaha mpya, kuhudhulia ufunguaji na ufungaji wa mazoezi ya kijeshi - una hakika huko kote hakujifunza kitu kuhusu masuala ya jeshi?
Unamaanisha kuwa hakina maana kuwepo?Waziri wa ulinzi nchi hii ni cheo ceremonial tu.
Umafahamu nn kuhusu hii nchi na wizara zake mpaka umefikia hitimisho la aina hiyo?nazungumzia maamuzi kwenye wizara hiyo.
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
2025 tunaenda na Bashite ili tukamilishe miradi yetuNyota njema huonekana asubuhi.
Safari ya 2025 yawezekana ndio imeanza!
Sawa kabisa, Bashite anatosha...Hawezi kuwa rais wa Tanzania? Majaribio na rukhsa yaliisha kwa baba yake. BTW tunahitaji chuma kingine wakati JPM akimaliza muda wake hatutaki masihara, nchi inataka kwenda mbele sio kedekeza vifisadi.
N zamu ya Waislamu!2025 tunaenda na Bashite ili tukamilishe miradi yetu
Unamaanisha kuwa hakina maana kuwepo?
Watu wamezuia kwenda nje na hii ni January baba, hivyo watu wanapiga per diem za ndani, CDF amefanya naye akiwa waziri wa ulinzi leo anaenda kujitambulisha kitu gani kwani hamjui? huu ujinga upo Tz pekeeTokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine.
Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
kwani huko kwenu kuna jiwe?, linahusika vipi?Serikali ya jiwe ni serikali ya kiki na udikteta. Hivyo hizo zote Ni mbinu za kujimwambafai tu
Mkuranga (2000-2005)Mwinyi ni kama Mtanzania bara
Wazanzibari wengi hawamjui
Ndio maana aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga au Kisarawe nimesahau..
Sasa lazima waende kujitambulisha awafahamu
huo ni utaratibu wa kikawaida sana,na umefanyika kwa marais wote,tatizo umeanza kufuatilia siasa zama za Tundu LissuNi Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Mwinyi ni mbara mzaliwa wa Mkuranga, Pwani. Lazima tuende kumpongeza mwenzetu kuweza kupata urais nchi ya jirani!
2025 tuko na Katelephone....ishieni huko hukoNakubaliana nawe kwa hili tena kwa 100% kuwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi hapo Zanzibar Isles yupo katika Mazoezi ya kuja kuwa Rais wa Mainland.
Vipi Sara Kuku hajambo?Hatutaki watu tunao wapa kazi ya kujenga nchi, wao wanajenga vijiji vyao