Sikuliona hili kwa waliokuwa Marais wote wa Zanzibar, kwanini linafanyika sasa kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi?

Sikuliona hili kwa waliokuwa Marais wote wa Zanzibar, kwanini linafanyika sasa kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi?

Sasa Daktari wa Binadamu unaenda kumpeleka Porini miezi mitatu kulima Choroko na kusafisha mapori eti awe Mzalendo?

Aliekataa Hussein asiende JKT ni Amiri Jeshi wa wakati huo na ndio sababu akafuta huo upuuzi baadae

Kuna Mijitu mijinga inadhan uzalendo ni kazi za kutumia nguvu bila ya malipo
hivi alivyokataa intern ndipo alipoajiriwa na dr kariuki?
 
Mwacha aje kuwa rais wa Tanzania ili aje kuijenga chato yake zanzibar nae, i cant wait
 
Zanzaibar hua ina copy na ku paste kutoka Bara; kama unakumbuka wakati Karume anaingia madarakani mwaka 2000, huku Bara Mkapa alikua na style ya ku cut costs of government, Karume nae alipoingia alipunguza sana ukubwa wa baraza la mawaziri, nadhani hadi wizara ya fedha alikua anaiongoza mwenyewe; ni hivyo tu
 
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.

Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?

Tuendelee kuona na kushuhudia mambo hapa.
 
Hawezi kuwa rais wa Tanzania? Majaribio na rukhsa yaliisha kwa baba yake. BTW tunahitaji chuma kingine wakati JPM akimaliza muda wake hatutaki masihara, nchi inataka kwenda mbele sio kedekeza vifisadi.
Sawa kabisa, Bashite anatosha...
 
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine.

Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.

Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Watu wamezuia kwenda nje na hii ni January baba, hivyo watu wanapiga per diem za ndani, CDF amefanya naye akiwa waziri wa ulinzi leo anaenda kujitambulisha kitu gani kwani hamjui? huu ujinga upo Tz pekee
 
Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
huo ni utaratibu wa kikawaida sana,na umefanyika kwa marais wote,tatizo umeanza kufuatilia siasa zama za Tundu Lissu
wewe enzi za Idris wakili na Brigedia Ramadhani Haji faki ulikua hujazaliwa kabisa
 
Mwinyi ni mbara mzaliwa wa Mkuranga, Pwani. Lazima tuende kumpongeza mwenzetu kuweza kupata urais nchi ya jirani!

Tukianza kujadiri nani ni native Zanzibari mbona hakuna atakae baki huko - wote watarudishwa makwao: Rufiji, Tanga, Mtwara, Wilaya ya Kisarawe, Morogoro,Manyema,Mombasa,Lamu, Oman, Yemen,India nk.
 
Back
Top Bottom