Sikuona sababu ya kumtenga mke mkubwa wa Ndugai msibani

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.

Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.

Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.

Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.

Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.

Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubinadamu.

Pia nawapa pole wanafamilia ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito , Mungu akawe mfariji wenu .
 

Je, Kabla ya mume wao hajafariki walikuwa na utamaduni wa kujumuika pamoja??
 
Narudia kusema mara nyingi wanaume tunawatupia lawama kina mama lakini

Mfumo wa maisha sehemu kubwa tumeharibu sisi wenyewe....

Huyo sio wa kwanza kuwa na mke za ya mmoja,, Ila ukishkndwa kuweka misingi ya familia yako kama baba.....


Matokeo ndo km haya,,


Upuuzi mtupu watajuana wenyewe khery yao wana Mali wakashindwa kuweka miongozo, je mimi niuchape sasa
 
Anayeungwa ni mke ambaye ana shule kichwani hata Jomo Kenyata alikuwa na mke wa mkubwa lakini mke mdogo Mama Ng'ina ndio anayetambulika.
 
Hayo ya kupetipetiana ni yao wawili, sheria inatambua ndoa na talaka, hakuna ndoa na talaka hawezi kuovateki Serera.
 
Sasa kwa nini umebold maandishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…