Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli.
JP.jpg

Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.

Kwa ufupi hawajui mipango ya chanjo Tanzania na sitofautishi mjadala wao na mijadal inayofanywa na wanahabari .

Nimesikitika kuwaona wakiiongelea Chanjo katika muktadha wa bure au hisani huku wakisahau watanzania tumeanza kuondokana na msamiati wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

Nawachukulia kama wasaliti waliotumwa kupima upepo.

kiki waliyojaribu kuitafuta itawatafuna milele
 
Unasema wanasiasa watafuta pesa hizo nafasi wapo sbb ni ajira yenye pesa na kulindia mali zao

Ila tuachane na neno usaliti, walete chanjo maisha yaendelee usijifanye kichwa ngumu kama Mecco alie ponda mabeberu kumbe anaishi kwa hisani ya kiberiti kilicho tengenezwa na mabeberu
 
Panaldo, Chanjo za minyoo ,na utotoni , Dawa za malaria, arv , dawa za tb, na kadhalika zote izo ni dawa ambazo formula yake imegunduliwa na mabeberu ,

Mwenda zake alikuwa anapambana na mabeberu lakini hakuna mipango yoyote aliyoijenga ili kuhakikisha nchi inaanza kujitegemea , zaid amekandamiza wasomi na kuwatumia vijana aliowatoa ubongo. Ambao hawana hata maono ya kitaifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anaponda mabeberu kumbe anaishi kwa hisani ya kiberiti cha mabeberu
Panaldo, Chanjo za minyoo ,na utotoni , Dawa za malaria, arv , dawa za tb, na kadhalika zote izo ni dawa ambazo formula yake imegunduliwa na mabeberu ,

Mwenda zake alikuwa anapambana na mabeberu lakini hakuna mipango yoyote aliyoijenga ili kuhakikisha nchi inaanza kujitegemea , zaid amekandamiza wasomi na kuwatumia vijana aliowatoa ubongo. Ambao hawana hata maono ya kitaifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dr John Pombe Magufuli.

Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.

Kwa ufupi hawajui mipango ya chanjo Tanzania na sitofautishi mjadala wao na mijadal inayofanywa na wanahabari .

Nimesikitika kuwaona wakiiongelea Chanjo katika muktadha wa bure au hisani huku wakisahau watanzania tumeanza kuondokana na msamiati wa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.

Nawachukulia kama wasaliti waliotuma kupima upepo.

kiki waliyojaribu kuitafuta itawatafuna milele
Na bado , 90% ya wanaccm wako hivyo , wewe endelea kuwa chawa
 
Magufuli is no more itabidi ukubaliane tu na matokeo
 
Back
Top Bottom