Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Hongera mwamba, ni wachache wanaweza hivi-wengi tunaamua tu kuishi na mizoga yetu kiroho ngumu ngumu, maana mateso huenda kwa watoto zaidi. Cha muhimu ni kuwa Kila jambo lina mwisho wake.
 
Ko we kwa akili yako ulitaka iweje Sasa? au we ulidhani umekutana na malaika eti au ndo una viwu wa shule ya msingi, Iko hivi kubali kataa awe mwanamke au mwanaume ana ile past yake sema tu huyo dada kaamua awe muwazi kwako na ukumbuke njia zako siyo njia zake yeye
 
Brother kichaa huchekesha akiwa wa jirani, akitokea kwako ni maumivu makali sana.
 
Baba hii yako imezidi ni hatari zaidi.
 
😅🤣🤣🤣
Mwanangu we acha tuu haya mambo
Mkuu hyo hali inamtafuna sana jamaa ila ata ss wengne still wapenz wetu wamechakatwa sana kabl yetu. Mfn manz yang aliwahi sema alikuwa na msela kipnd hicho bado mbichi kabsa jamaa alikuwa mkubwa kwake yan alivyoanza kumla ilichukua kama week kuizoea mb**o ya jamaa daaah alinikata stim knoma, yan upendo ulishuka kama barafu iliyoyeyuka na hatimae akawa x wng. Decision niliyochukua natafuta dem ambae bado hajaliwa na wapo wengi trust me, tena hawa wanaomaliza advance wapo wa kutosha.
 
Ndugu nahisi unachukulia poa hili suala kwa kuwa halikutokea kwako. Hebu kaa utafakari mara mbili utaelewa shida ilipo.
 
Na huko kigamboni ndo kwenye uchafu wa aina hii ya mabinti yaani hawawazi kesho kabisa.
 
Kuna dame nilimuelewa nikataka nioe kabisa, kuna siku ananihadithia alishawahi kudinywa na daimond sijui lengolake lilikua nini kwamba ajithaminishe ama aje! nilipiga chini mazima.
 
Mkuu mwanamke aliyelala na mwanaume miezi miezi sita iliyopita wala haiumizi akili kwa sisi wanaume.

Sisi wanaume tukitembea na mwanamke ikipita miezi basi radha ishaisha kabisa ni kama hatujagonga vile na huo ndio ukweli ila tunakumbushia tu...


Sasa hapo mkuu wala usiumie labda ingekuwa kapitiwa na jamaa wiki moja iliyopita hapo maumivu ni lazima.


Acha utoto tulia na binti wa watu jengeni maisha.


MZINIFU ATAOA MZINIFU MWENZIE.
 
Mkuu ahsante kwa ushauri wako
 
Mkuu pole sana na ni kawaida KAMA HUTOJALI IKIWA MKE WAKO JINA lake limeanza na N na la ukoo (surname) Limeanza na S, njoo pm fasta tuyamalize
Hapana mkuu ni tofauti hayana mfanano.
 
ndo amwambie mwenziee alipigwa mtungo?????
 
Huna akili kabisa kila binadam ana historia yake kwenye maisha na mahusiano ikiwemo wewe
 
Alikusimulia lengo likiwa ni nini? Alikosa story au[emoji849]
Alisema kuwa jambo linamtesa sana moyoni mwake, kwamba akiniambia atakuwa huru kuliko mimi nije kujua kupitia vyanzo vingine.
 
Kosa la mwenzio ni kukwambia ukweli? Wewe ndio unaenda kutengeneza Bomu litakalokutesa maisha yako yote. Ukithubutu kufanya huo ujinga aisee. Mi nilijua kafanya ukiwa naye kumbe ni zamani? utakua fala ukimwacha kwa kosa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…