Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Kwa mujibu wa stori yako, mlikutana na huyo Dada baada ya yeye kumaliza chuo, hupaswi kufanya maamuzi wala kuumia sababu hayo yalikuwa ni mambo yake ya nyuma.. Mlipokutana mlifungua ukurasa mpya wa mambo yenu. Play your part and Relax.
Nachojiuliza walianzaje hadi kuelezana mambo yaliyopita? Sitatoa judgement hadi nisikie na upande wa pili. Inawezekana jamaa ndio alitaka kuambiwa
 
sasa hapo tatizo ni nini ? Yaani story ya nyuma, inakutoa kwenye mlengo.. Bado hujapata ukomavu wa kutosha , jenga huo
 
Nachojiuliza walianzaje hadi kuelezana mambo yaliyopita? Sitatoa judgement hadi nisikie na upande wa pili. Inawezekana jamaa ndio alitaka kuambiwa
Hii inakujaga automatik,
Mfano niliwahi muuliza aliyekua mpenzi wangu kwa nini ameachana na x wake. Nia ilikua njema tu ili nami nisirudie makosa ya x wake akaniacha, Mdada akanijibu x wake alikua ana wivu sana. Nikashtuka nikasema hata mimi wivu ninao yaani nikikuona na njemba sitokuelewa. Mdada akaendelea kufunguka kua x wake alikua anamsulubu kwa pipe kila akihisi anamcheat. yaani jamaa akihisi tu dame anataka amcheat basi atamnywea mkongo, mkuyati, mpododo unakua ka mti mkavu afu shughuli moja tu. Kifupi jamaa alikua anambaka tuseme.
Daah mzee baba baada ya kusikia hayo nikanywea kidogo.
All in all kila mtu ana stori yake ila kwa hawa wenzetu hazifai kuzijua.
 
Hapo hata wewe uliyataka mwenyewe, kwanini usingeuliza tu ni vitu gani hapendi kutoka kwa mwanaume? Sema nini, kama huna malengo nae wala haiumizi kivyovyote, suala ni kama ulitaka kulipaki mazima. Maumivu ya hapo bora hata ufiwe
 
Mkuu nakuunga mkono muache tuu,inauma bora angekaa kimya mimi tu ambae ni msomaj naumia hivi je wewe muhusika duuh piga chini itafute amani ya moyo
 
Hapo hata wewe uliyataka mwenyewe, kwanini usingeuliza tu ni vitu gani hapendi kutoka kwa mwanaume? Sema nini, kama huna malengo nae wala haiumizi kivyovyote, suala ni kama ulitaka kulipaki mazima. Maumivu ya hapo bora hata ufiwe
Maumivu makali mdau, ukiangalia mdada ni pisi la kwenda, alivyojibu hivyo tu sikua na nguvu ya kuuliza swali jingine zaidi ya ku imagine tu kua huyu hata marinda ukute kashatolewa kwa dizaini hii.
mzee baba nilimwacha yule manzi taratiibu.
 
Ulifanya la maana kumfyeka. Maana anasimulia upumbavu huku kajiachia as if anafurahisha
 
Hizo hasira zako za kijinga sana aisee ww ulimkuta bikira
 
Okay, Kikubwa jiamini mkuu, swala kubwa ni kwamba kubaliana na hali kwamba umepata kile ulichokuwa hujatarajia, sababu mwanamke yeyote aliyewahi kuwa na Mahusiano before kuna mambo kama uliyoyataja hapo juu hayawezi kwepeka sababu ata kwako kuna mengine atakuwa anakufanyia kama kukufulia. Na huenda pia hayo unayoyawaza kichwani kwamba alikuwa anafanyiwa Ivyo si kweli ni vile akili yako umeijenga Ivyo..

Jiamini bro, Jambo lishatokea huwezi badilisha kitu, labda umwache huyo mwanamke.
 
Nachojiuliza walianzaje hadi kuelezana mambo yaliyopita? Sitatoa judgement hadi nisikie na upande wa pili. Inawezekana jamaa ndio alitaka kuambiwa
Kwenye Mahusiano issue kama izo za kutaka kujua background ya mwenzio huwa zipo, Ndiyo maana asilimia kubwa ya wengi wakiwa kwenye Mahusiano hawatakagi mambo ya kujua mengi sana kuhusu wapenzi wao wana baki kuplay part yao tu, kwa Maelezo ya jamaa inaonesha alikuwa anataka kufahamu mambo ya nyuma ya mwanamke wake, sasa kakutana na ilo swala likamkata mood ya kuendelea kuuliza mengine.
 
Kwakua aliyataka mwenyewe, aendelee kuuliza zaidi apate kuambiwa kuwa hata BACK DOOR ya demu wake iko open kitaaaambo
 
Utakuwa bado mtoto wewe. Sasa hayo ya chuo si yalishapita?? Nilifikiri ishu kubwa kumbe hilo tu!!
Ngoja uje umuoe mwingine alaf ugundue alikuwa changu kama hutokufa kabisa wewe.
 
Ukweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
Duh! We jamaa una shida kichwani. Huyo mwanamke wako kapata hasara kubwa kuwa na wewe
 
Utakuwa bado mtoto wewe. Sasa hayo ya chuo si yalishapita?? Nilifikiri ishu kubwa kumbe hilo tu!!
Ngoja uje umuoe mwingine alaf ugundue alikuwa changu kama hutokufa kabisa wewe.
Nashangaa mwamba anaumia kinoma mambo ambayo yalishapita demu akiwa chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…