Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Mkuu kwani hapo kosa lake ni lipi? Kua mkweli au? Au umemchoka unamtafutia Tu sababu?
Nakusihi Tu usijaribu kumuacha shemeji labda kama ulikua humpendi
Hapaswi kumuacha ingawa demu nae kazingua kumpa jamaa taarifa zisizo za lazima ambazo alijua moja kwa moja zitamuumiza jamaa
 
Ni kweli lakini huyo demu n mkweli hapaswi kumzingua kabisa... Usikute hata yeye kashadeti na mademu kibao kabla ya kua nae sasa wivu wa nini? Labda kama angemkuta ni bikra
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Alikaaa na jamaa kipindi wewe mpo kwenye mahusiano au mlikuwa bado hamjakutana bro??
 
Ni kweli lakini huyo demu n mkweli hapaswi kumzingua kabisa... Usikute hata yeye kashadeti na mademu kibao kabla ya kua nae sasa wivu wa nini? Labda kama angemkuta ni bikra
Sahihi, kiufupi demu anampenda jamaa. Kinachotakiwa ni jamaa kutake easy atulie na mrembo. Kitendo cha kumwambia ukweli maana yake demu kaamua kujikabidhi akiwa msafi na roho yake kwa jamaa
 
Ushauri wa bure: Amekuambia kwa sababu anahofia siku moja lisije kuibuka na mko familia ukaumia!! Wanaumie msiwe makatili hivi jamani....

Nakushauri muoe awe MKEO na sahau yaliyopita. Usije ukamwacha ukaenda kuona aliyetoa ujauzito kadhaa. Kikubwa fungeni ndoa acheni kumuudhi Maulana
Maulana ndio nani?
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
So sad bro hata mimi ningemchama tuu baada ya kujifungua kuwa mimi na yeye basi.
Kukaa na mwanaume kama mke na mume daa, tunawaza vingi sana sisi wanaume, imagine jamaa alikuwa anapikiwa, anafuliwa, jioni anapiga game, anakojoa ndani, na binti afua dhuka, daaa.
So sad. Afu wewe ulijitunza daaaa.
Mimi mpaka sasa sijawahi kulala na binti all night mpaka asubui.
Ila nikipata mtu mabaye amewahi fanya hivyo sitavumilia kabisa daaa.
 
Mkuu huyu siyo single mother mimba ni yangu, koz nimeishi naye kwa zaidi ya mwaka sasa.

Sasa unatumia nini? Wewe haujawahi kuwa na wengine kabla? Si Bora huyo ana mafunzo na ameyapita hivyo atatulia zaidi au unataka ambaye hajui kitu? Sali upate uamuzi.

Majuto ni......
 
Sahihi, kiufupi demu anampenda jamaa. Kinachotakiwa ni jamaa kutake easy atulie na mrembo. Kitendo cha kumwambia ukweli maana yake demu kaamua kujikabidhi akiwa msafi na roho yake kwa jamaa
Kabisa mi niliwahi kumpiga demu show alikua mtamu Sana k*ma ilikua ya Moto Sana niliinjoy kinoma. After a week akanambia kua alikua na mimba ya mwezi na siku kadhaa but anataka atoe.. coz she was still young to handle it, wala sikumaindi na tuliendelea. Sijui angekua huyu jamaa nadhani angemuua [emoji28]
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Mbona alikuwa anakupigia story tu ya enzi zake huko??kuna ubaya gani ukisimuliwa historia? By gones are by genes Bro! Ukitaka wako oa bikira!
 
Mkuu trust me , kama unaamua kumuacha muache, ukiendelea nae am tell you , hutakuwa mtu wa furaha maisha yako yote , unless GOD aingilie kati kaka.
Pole sana.
Maana hapo ushakuwa na wasiwasi kaka.
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Sa Itakuaje!?
 
Ni kweli sikumkuta bikra ila nilimsamehe kimyakimya, kwani hata mimi nimekula sana.
Duuuu aisee alikaanae mpaka kumaliza chuo duuu.
Mimi mpaka sasa nimepita chuo ila sijawahi hio.
Hata mtaani huku sijawahi.
Mimi hata kama alifanya before daaa. Wala
 
Kabisa mi niliwahi kumpiga demu show alikua mtamu Sana k*ma ilikua ya Moto Sana niliinjoy kinoma. After a week akanambia kua alikua na mimba ya mwezi na siku kadhaa but anataka atoe.. coz she was still young to handle it, wala sikumaindi na tuliendelea. Sijui angekua huyu jamaa nadhani angemuua [emoji28]
Jamaa ana wivu sana inaonekana. Huo kwake ungekuwa mtihani mgumu sana kudecide cha kufanya..

hapa mkuu nimepigwa BAN account yangu pendwa nina uchungu sana
 
Ukweli ni kwamba nimeumia sana, mpaka nahisi kama siyo mimi hivii, upendo umeporomoka nahisi kama nimechukua mwanamke aliyeachika.
Daa yani bro , kwa kifupi kipindi yupo chuo alikuwa ni mke wa mtu ,
Daaa.
Mimi siwezi kabisa.
Mimi nakushauri akijifungua mwambie tuu ukweli jinsi ulivyojisikia, na kuhusu upendo wako kushuka kwake , usifiche ukakaa nayo moyoni.
Just tell her , yote mueleze mkuu.
Afu mwambie so tufanye nini, muamue cha kufanya.
Ukikaa kimya kaka na ukaamua kuoa , hio kitu kitakutesa balaaa bro tena sana.
 
Kama una sababu nyingine muache ila hii uliyosema hapa sio sababu ya kumuacha
Inagetemeana na mtu mimi hapana.

Mimi kipindi tupo chuo kuna wadada wawili walikuwa wanakaa na me kwenye ghetto,
Mmoja huyo jamaa alikuwa anasimulia anavyomnyandua kwa washikaji, alikuwa anasema kabisa kuwa anamaji mengi, sijui yupo hivi na vile.
Daaa
Na mwingine huyo , alikuwa anasema kuwa nikiwanae tendoni, najitahidi sana kumwaga nje.

Guys am tell you vijana wengi wanaoishi na mabinti vyuoni sio wastaarabu, wengi wapo hovyo sana.
Pia angalia marinda kama yapo bro ni muhimu.
Mtu akiishi na binti ambaye anajua hawezi kuwa nae baadae. Sexy fantasy zote zinaishia hapo.
Mzee wa kupambania mzabzab
 
Back
Top Bottom