Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Lengo la Binti kuyasema haya leo ni nini???? Kwamba ujuee alikuwa analiwaaa mchana na usiku au??? Huyoo kahabaa tuu pigaa chinii
Àcha hizo we si ndio mzee wa kuwala kimasihara🤔 afu siku isiyo na jina utayavagaa,mark my words🤣🤣
 
Kama haukumkuta bikra kinachokuuma hasa ni kipi?
Nami nashangaa sana, tena ashukuru kaelezwa ukweli sasa cjui alitaka aambiwe alikua anakaa Kwa mjomba ake .

Any way mkataba WA DP world umevunjwa tayali
 
Anifiche nani, mie nafichika basi, mie ni kama dudukila lililodinda kwenye msuli..🤣

Umejifukuza mwenyewe mzee mwenzangu, mie mkulima nakataaje jembe sasa..😂🤣
Unanitafutia sababu kila sku🙆🙆
 
Unanitafutia sababu kila sku🙆🙆
Basi tufunike kombe, mwanaharamu apite..

Kwanza kugombana na kibaridi hiki hainogi.. twende tukazagamuane.. tukamake over ile ya motoooo kabisa.. kwichi kwichi huku tunaombana misamaha..
 
Sehem uliyofungia ndoa wanaagizwa na mahakaman wawe na wasuluishaji.. Ndio Baraza then maamuz yao mahakaman ndio wanayatumia kama reference
Kumbe ni watu wa kanisani ndo wamegoma,
Maana ndoa za kanisani hazivunjiki.
Mimi ningewaambia, sasa kama hamtanipa nifenyeje, mimi simuitaji kabisa.

Waambie tuu Watanangaze kanisa kuwa kanisa limewatenganisha wanandoa hawa na hawa.
 
Back
Top Bottom