Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Ulipofungia ndoa Ndio wanapoagizwa pawe na wasuluishaji..Angali wanajua kuwa umuhitaji kabisa , daaa hilo baraza la suruhisho linapatikana wapi??
Mahakamani au ustawi wa jamii??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipofungia ndoa Ndio wanapoagizwa pawe na wasuluishaji..Angali wanajua kuwa umuhitaji kabisa , daaa hilo baraza la suruhisho linapatikana wapi??
Mahakamani au ustawi wa jamii??
Àcha hizo we si ndio mzee wa kuwala kimasihara🤔 afu siku isiyo na jina utayavagaa,mark my words🤣🤣Lengo la Binti kuyasema haya leo ni nini???? Kwamba ujuee alikuwa analiwaaa mchana na usiku au??? Huyoo kahabaa tuu pigaa chinii
Sehem uliyofungia ndoa wanaagizwa na mahakaman wawe na wasuluishaji.. Ndio Baraza then maamuz yao mahakaman ndio wanayatumia kama referenceAngali wanajua kuwa umuhitaji kabisa , daaa hilo baraza la suruhisho linapatikana wapi??
Mahakamani au ustawi wa jamii??
Nami nashangaa sana, tena ashukuru kaelezwa ukweli sasa cjui alitaka aambiwe alikua anakaa Kwa mjomba ake .Kama haukumkuta bikra kinachokuuma hasa ni kipi?
Unanitafutia sababu kila sku🙆🙆Anifiche nani, mie nafichika basi, mie ni kama dudukila lililodinda kwenye msuli..🤣
Umejifukuza mwenyewe mzee mwenzangu, mie mkulima nakataaje jembe sasa..😂🤣
Ooh Asante best.maisha yanaendelea..Hapo ulikuwa na haki mkuu ya kumwacha sababu zako zina mashiko sana na pole mnooo. Sio kama mtoa mada
Basi tufunike kombe, mwanaharamu apite..Unanitafutia sababu kila sku🙆🙆
Mzee mwenzangu kwahiyo mwanaharamu ni nani?Basi tufunike kombe, mwanaharamu apite..
SHetani bin iblisi anaetaka sie tusifikie malengo yetu.Mzee mwenzangu kwahiyo mwanaharamu ni nani?
Oooh!! Hapo sawa. Nasubiri unitumie mahari sasa.SHetani bin iblisi anaetaka sie tusifikie malengo yetu.
Limeìsha hiyo.. taja mahari, nifanye muamala chap kwa haraka..Oooh!! Hapo sawa. Nasubiri unitumie mahari sasa.
Nipe blank cheque niandike mwenyewe.Limeìsha hiyo.. taja mahari, nifanye muamala chap kwa haraka..
Nipe blank cheque niandike mwenyewe.
😅🤣🤣🤣Maamae nimecheka kinoma 😀😀😀😀
Kumbe ni watu wa kanisani ndo wamegoma,Sehem uliyofungia ndoa wanaagizwa na mahakaman wawe na wasuluishaji.. Ndio Baraza then maamuz yao mahakaman ndio wanayatumia kama reference
Mimi ningewaambia tuu.sikueleza straight kama navoeleza hapa..but message waliipata na kuelewa.
Umeshindikana🤣Cheki hii hapa, andika.
Vibaya hivyo mzee mwenzangu, we ndio hunitaki kumbe. 🤣Umeshindikana🤣