Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Kweli zama zinabadilika. Zamani nisipoingia jf hata kwa masaa manne tu nahisi nimepoteza kitu fulani muhimu. Sikuwahi kufikiri kama ningeweza kupita siku nzima bila kuingia jf. Ila ndo hivyo, leo nimeingia baada ya miezi mingi kupita, jf kama kumepoa hivi, hakuna sarakasi nyingi kama zamani. Au sijui na kufungiwa kunachangia.