Sikuwahi kufiriki kuna siku ingepita bila kuingia JF

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,288
Reaction score
18,579
Kweli zama zinabadilika. Zamani nisipoingia jf hata kwa masaa manne tu nahisi nimepoteza kitu fulani muhimu. Sikuwahi kufikiri kama ningeweza kupita siku nzima bila kuingia jf. Ila ndo hivyo, leo nimeingia baada ya miezi mingi kupita, jf kama kumepoa hivi, hakuna sarakasi nyingi kama zamani. Au sijui na kufungiwa kunachangia.
 
Yeah ni kweli,. Zamani sijui ndio nilikua addicted 😃😃

Ila Nowadays kuingia humu ni mpaka mzee wangu anitumie link ya uzi flani ndio nitakuja nisome,. Ntapitia pitia na vingine vingine vilivyonipita for some days then natoka
 
Tulia kwanza kuna machaka mapya kama yote
 
Yeah ni kweli,. Zamani sijui ndio nilikua addicted [emoji2][emoji2]

Ila Nowadays kuingia humu ni mpaka mzee wangu anitumie link ya uzi flani ndio nitakuja nisome,. Ntapitia pitia na vingine vingine vilivyonipita for some days then natoka
Mlongoo JF ya VPN inaboa kiasi eeh? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zamani nilikuwa online muda mwingi. Nikama 80% ya siku nilikuwa JF.
Ila saivi nasikitika kuona zimeshuka mpaka 20% hadi 15%.

Ila hata munibane vipi siwezi kupitisha siku bila bila kuingia JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…