Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana๐Ÿ˜€

Mkuu kiringo maan yake ni kurithi inaweza kuwa mke au mji. Mfano kama nyumbani kwenu baba na mama wote wamefariki basi mtoto mkubwa atatakiwa kurithi huo mji ndo itaitwa hivo Kiringo.
Ahsante sana Mkuu umenielewesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ