Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

Mkuu kiringo maan yake ni kurithi inaweza kuwa mke au mji. Mfano kama nyumbani kwenu baba na mama wote wamefariki basi mtoto mkubwa atatakiwa kurithi huo mji ndo itaitwa hivo Kiringo.
Ahsante sana Mkuu umenielewesha
 
Back
Top Bottom