Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 302
- 295
Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
Hoja yake ikakataliwa!Hoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
Hii ndiyo silaha kuu ya CCMTutamteka tutambambikia kesi ya kutakatisha fedha.
Kesi hiyo haina dhamana.
Ingeweza kutetea uhalali wa mchaguliwaHoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
Kuna wakati hata saa mbovu husema majira sahihiKumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
Ni amri hata hapakuwa na uchaguzi ni utapeli tupu, JK ni dalali hivyo alichofanya ni kumpaka mafuta maza akajaa kwenye mfumoIngeweza kutetea uhalali wa mchaguliwa
Ukweli walipigwa upofu
Mungu hadhihakiwi
Kuweka fairness, mgombea Urais haitakiwi ashawishi matokeoHoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
Kwa hiyo kutopisha ndo inaondoa uhalali?Ingeweza kutetea uhalali wa mchaguliwa
Ukweli walipigwa upofu
Mungu hadhihakiwi
Siku mwenye kutoa amri ya utekaji akitekwa ndiyo mtajua hao vijana hawana adhabu....Tutamteka tutambambikia kesi ya kutakatisha fedha.
Kesi hiyo haina dhamana.
Netapussy tuheshimianeHii ndiyo silaha kuu ya CCM
Ingeweza muongezea mgombea legitimacyHoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
Sijui kwakwel ila hata miki nikifikiria sioni mantic kabisa..Hoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
Sikiliza ile clip ya Binti, alitoa hoja mkutano mkuu ukabreak ili waende kikao Cha kamati kujadili majina matatu, na yule binti alifafanua vizuri jina moja lipo sehem ya majina matatu, so kupeleka majina si lazima make kama watu wengine wasipojitokeza akatokea mmoja tu, je chama kitaacha kuteua mgombea kisa wawili walikosekana?Kwenye Siasa hakuna jambo la bahati mbaya, na Wanasiasa wana akili nyingi sana hasa Strategies, ndio maana hupanga na kupigana vita.
Lusinde ni either alitaka amtoe Samia madarakani, au alipangwa kweli na Samia ila Samia akapata Intel Kuwa watu watagoma akatumia nguvu... Sasa watu wasiomtaka Samia wamecounter attack
naam maana kama walishangilia na kukubali kupitisha ---- kupisha kidogo haikua na maana yeyote ile 🤣, SSH ndo mgombea wao -- na kwa kawaida zao za sanduku la kura ndo rais wa 2025Sijui kwakwel ila hata miki nikifikiria sioni mantic kabisa..
Huenda hata samia hakuona mantik ndio maana akaamua kugoma. Huenda hata JK akafikiria akaona haina maana sana akaamua ku ignore.
Sijui. Labda wana ccm waje watupe in depth explanations, nini maana ya ile kitu?