Acha kujitoa ufahamu ngwe yapili ipiNgwe ya pili hainaga utaratibu wa kuzunguka mikoa kuomba udhamini, hiyo huwa ni kwa yule mgombea anayeenda kuwa rais mpya.
Acha kujitoa ufahamu ngwe yapili ipiNgwe ya pili hainaga utaratibu wa kuzunguka mikoa kuomba udhamini, hiyo huwa ni kwa yule mgombea anayeenda kuwa rais mpya.
BAWACHA kila uchaguzi lazima utoe ngonoUWT muda wote mnawaza ngono
Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
Dada yangu ulishawai kujiuliza mantiki yako pindi wewe unapokwenda chooni kujiharishia ni kwa nini unachutama? Au wewe kwa kuwa unajiharishiaga kwenye bikini yako.Hoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
UWT nyie mnalaana ya ngonoBAWACHA kila uchaguzi lazima utoe ngono
Ccm wakikuambia pisha kiti kwa muda ujue imetoka hiyo.Hoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
Dah, sijui uelewa wangu ndo uko chini sana au wa hiki kijidada kisichana toka kanda ya ziwa!View attachment 3413279
hapa kaifosi sana statement - na wao wanashangilia tu.
ila ndo kama magufuli tu 2020 hakukua na majina matatu pia
hii ndo desturi yao mpya 😁
Labda kama kuna aliyeelewa hapa, anieleweshe. Mimi amenifanya nichanganyikiwe kabisa, sijaelewa.View attachment 3413279
hapa kaifosi sana statement - na wao wanashangilia tu.
ila ndo kama magufuli tu 2020 hakukua na majina matatu pia
hii ndo desturi yao mpya 😁
Sekunde hizo hizo za kupisha kiti kwa mda watu wanafanya yaoHoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
🤣 🤣 🤣 🔊Ni amri hata hapakuwa na uchaguzi ni utapeli tupu, JK ni dalali hivyo alichofanya ni kumpaka mafuta maza akajaa kwenye mfumo
Ule ulikuwa ni uchawa na wala siyo kutaka kanuni zifuatwe.Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
naama hapo kwenye kauli yake imepindapinda -- lakini kama wao walishangilia ndo mambo yao hayo ya kila siku.Dah, sijui uelewa wangu ndo uko chini sana au wa hiki kijidada kisichana toka kanda ya ziwa!
Majina yasiyopungua matatu ndo takwa la katiba, so ilitakiwa yawepo majina kuanzia matatu na kuendelea, kwa maana yasipungue matatu.
Katiba ingesema majina yasiyozidi matatu, hapo ndo angekuwa na uhalali wa kuhalalisha hoja yake kwamba hata jina moja linatosha.
Lakini Watanzania ndivyo tulivyo, kwa asili yetu ni wengi ni wanafiki, ndiyo maana hata tumekubaliana na uongo kwamba tuko awamu ya 6 ilhali hatukupiga kura kumchagua Rais Mpya baada ya kifo cha Hayati JPM!
hapa walikua wanataka kumpitisha SSH bila kupingwa kama walivyofanya kwa JPM mkuu tofauti ni namna walivojenga hojaLabda kama kuna aliyeelewa hapa, anieleweshe. Mimi amenifanya nichanganyikiwe kabisa, sijaelewa.
Ngwe ya Kwanza, alidhaminiwa?Ngwe ya pili hainaga utaratibu wa kuzunguka mikoa kuomba udhamini, hiyo huwa ni kwa yule mgombea anayeenda kuwa rais mpya.
Mbona JPM alipisha?Ccm wakikuambia pisha kiti kwa muda ujue imetoka hiyo.
Malecela alifanyiwa hivyo
Jumbe marehemu naye
Wanajua hatar ya hilo jambo
Kwasababu alikuwa DICTATOR.Mbona JPM alipisha?
SSH ni special case --- hivyo hakuna sehemu yeyote huko kwenye chama chenu ambapo inatoa muongozo kwa situation ya SSH.Ngwe ya Kwanza, alidhaminiwa?
majina yalikua mangapi mkuu?Mbona JPM alipisha?