speech ya yule binti mimi sijaielewa vizuri kule mwisho nimerudia kama mara mbili lakini sikuelewa kuna muda niliona kama ni spana - lakini pia niliona ana shangwe kubwa hivo kichwa changu kikatoka bila bilaSikiliza ile clip ya Binti, alitoa hoja mkutano mkuu ukabreak ili waende kikao Cha kamati kujadili majina matatu, na yule binti alifafanua vizuri jina moja lipo sehem ya majina matatu, so kupeleka majina si lazima make kama watu wengine wasipojitokeza akatokea mmoja tu, je chama kitaacha kuteua mgombea kisa wawili walikosekana?
UWT mnachekesha snNetapussy tuheshimiane
Utakuwaje hakimu wa kesi yako?Hoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
Yule binti hoja zake alikuwa anamsahihisha kibajaji, na ndomana meza kuu iliridhia, mkutano mkuu ukabreak ili utaratibu wa majina matatu kujadiliwa ukafanyike, na pia alisisitiza kwenye kujadili majina matatu hata likija jina moja sio inshu make hata jina moja ni sehem ya majina matatu. So jina la samia lilipitishwa Kwa kufuata kanuni na utaratibu, hakuna kanuni zilizovunjwa.speech ya yule binti mimi sijaielewa vizuri kule mwisho nimerudia kama mara mbili lakini sikuelewa kuna muda niliona kama ni spana - lakini pia niliona ana shangwe kubwa hivo kichwa changu kikatoka bila bila
Ukiwa chawa huwezi kung'amua mambo makubwa kama haya.Kwa hiyo kutopisha ndo inaondoa uhalali?
Nakumbuka Kuna Binti alitoa hoja Fulani na mkutano mkuu ukabreak ili jina likajidiliwe na kikao Cha nec na yule binti alifafanua vizuri kujadili majina matatu si inshu make hata jina moja ni sehem ya majina matatu na walibreak kidogo ili utaratibu wa kupitisha jina uwe halali, sasa anacholalamika utaratibu umevunjwa mbona mie sielewi?
AiseeeSiku mwenye kutoa amri ya utekaji akitekwa ndiyo mtajua hao vijana hawana adhabu....
neno "yasiyopungua matatu" ndo akili yangu ilifeli alafu nikasikia anasema "hata moja ni sehemu ya matatu" hivyo tuendeleeYule binti hoja zake alikuwa anamsahihisha kibajaji, na ndomana meza kuu iliridhia, mkutano mkuu ukabreak ili utaratibu wa majina matatu kujadiliwa ukafanyike, na pia alisisitiza kwenye kujadili majina matatu hata likija jina moja sio inshu make hata jina moja ni sehem ya majina matatu. So jina la samia lilipitishwa Kwa kufuata kanuni na utaratibu, hakuna kanuni zilizovunjwa.
BAWACHA mnahuzunisha sanaUWT mnachekesha sn
Alipaswa hapishe ili majina matatu yapendekezwe yapigiwe kula apatikane mshindi ndio apitishwe na mkutano mkuu wa chama.Hoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?
Nasikia mkuu umepenya viti maalum udiwaniBAWACHA mnahuzunisha sana
Nasikia mkuu mwaka jana ulikigawa sana ili uchaguliwe katibu wa BAWACHA kanda. Pole sana, nasikia Kigaila aliipiga kavuNasikia mkuu umepenya viti maalum udiwani
No reforms no electionsKwa hiyo kutopisha ndo inaondoa uhalali?
Nakumbuka Kuna Binti alitoa hoja Fulani na mkutano mkuu ukabreak ili jina likajidiliwe na kikao Cha nec na yule binti alifafanua vizuri kujadili majina matatu si inshu make hata jina moja ni sehem ya majina matatu na walibreak kidogo ili utaratibu wa kupitisha jina uwe halali, sasa anacholalamika utaratibu umevunjwa mbona mie sielewi?
Mnalazimisha nyekundu kuwa nyeupeYule binti hoja zake alikuwa anamsahihisha kibajaji, na ndomana meza kuu iliridhia, mkutano mkuu ukabreak ili utaratibu wa majina matatu kujadiliwa ukafanyike, na pia alisisitiza kwenye kujadili majina matatu hata likija jina moja sio inshu make hata jina moja ni sehem ya majina matatu. So jina la samia lilipitishwa Kwa kufuata kanuni na utaratibu, hakuna kanuni zilizovunjwa.
Hao wengine walipewa muda wa kujitokeza?Sikiliza ile clip ya Binti, alitoa hoja mkutano mkuu ukabreak ili waende kikao Cha kamati kujadili majina matatu, na yule binti alifafanua vizuri jina moja lipo sehem ya majina matatu, so kupeleka majina si lazima make kama watu wengine wasipojitokeza akatokea mmoja tu, je chama kitaacha kuteua mgombea kisa wawili walikosekana?
Iweke hapa!speech ya yule binti mimi sijaielewa vizuri kule mwisho nimerudia kama mara mbili lakini sikuelewa kuna muda niliona kama ni spana - lakini pia niliona ana shangwe kubwa hivo kichwa changu kikatoka bila bila
Ngwe ya pili hainaga utaratibu wa kuzunguka mikoa kuomba udhamini, hiyo huwa ni kwa yule mgombea anayeenda kuwa rais mpya.Mnalazimisha nyekundu kuwa nyeupe
Haya na wadhamini wa mikoa 25 walimjazia fomu pale pale
Hii Nchi yetu sote acheni uhuni
UWT muda wote mnawaza ngonoNasikia mkuu mwaka jana ulikigawa sana ili uchaguliwe katibu wa BAWACHA kanda. Pole sana, nasikia Kigaila aliipiga kavu
Huwezi ona kama ubongo wako upo likizoHoja kumbe ni kupisha tu kiti kwa muda? Mbona sioni mantiki yake hasa ni nini?