Dah, sijui uelewa wangu ndo uko chini sana au wa hiki kijidada kisichana toka kanda ya ziwa!
Majina yasiyopungua matatu ndo takwa la katiba, so ilitakiwa yawepo majina kuanzia matatu na kuendelea, kwa maana yasipungue matatu.
Katiba ingesema majina yasiyozidi matatu, hapo ndo angekuwa na uhalali wa kuhalalisha hoja yake kwamba hata jina moja linatosha.
Lakini Watanzania ndivyo tulivyo, kwa asili yetu ni wengi ni wanafiki, ndiyo maana hata tumekubaliana na uongo kwamba tuko awamu ya 6 ilhali hatukupiga kura kumchagua Rais Mpya baada ya kifo cha Hayati JPM!