Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

speech ya yule binti mimi sijaielewa vizuri kule mwisho nimerudia kama mara mbili lakini sikuelewa kuna muda niliona kama ni spana - lakini pia niliona ana shangwe kubwa hivo kichwa changu kikatoka bila bila
 
Yule binti hoja zake alikuwa anamsahihisha kibajaji, na ndomana meza kuu iliridhia, mkutano mkuu ukabreak ili utaratibu wa majina matatu kujadiliwa ukafanyike, na pia alisisitiza kwenye kujadili majina matatu hata likija jina moja sio inshu make hata jina moja ni sehem ya majina matatu. So jina la samia lilipitishwa Kwa kufuata kanuni na utaratibu, hakuna kanuni zilizovunjwa.
 
Ukiwa chawa huwezi kung'amua mambo makubwa kama haya.
 
neno "yasiyopungua matatu" ndo akili yangu ilifeli alafu nikasikia anasema "hata moja ni sehemu ya matatu" hivyo tuendelee

hapo mimi akili yangu haijaelewa mkuu lakini wajumbe wakashangilia kila kitu
 
No reforms no elections
 
Mnalazimisha nyekundu kuwa nyeupe

Haya na wadhamini wa mikoa 25 walimjazia fomu pale pale

Hii Nchi yetu sote acheni uhuni
 
Hao wengine walipewa muda wa kujitokeza?
 
speech ya yule binti mimi sijaielewa vizuri kule mwisho nimerudia kama mara mbili lakini sikuelewa kuna muda niliona kama ni spana - lakini pia niliona ana shangwe kubwa hivo kichwa changu kikatoka bila bila
Iweke hapa!
 
Reactions: Lax
Mnalazimisha nyekundu kuwa nyeupe

Haya na wadhamini wa mikoa 25 walimjazia fomu pale pale

Hii Nchi yetu sote acheni uhuni
Ngwe ya pili hainaga utaratibu wa kuzunguka mikoa kuomba udhamini, hiyo huwa ni kwa yule mgombea anayeenda kuwa rais mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…