Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
Kwani hata angetoka na wamjadili unafikiri kingebadilika Nini?
 
Mahakama ndo ingetakiwa itoe tafsiri ya kisheria na kipi kifanyike
 
Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
Dodoma kuna watu 2 tu, Ndugai na Lusinde
 
Rais wa sita katika awamu ya tano.

Shida ni elimu elimu kuanzia kiti kikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…