Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Alikuwa dalali sasa labda awatumie aliowanunua waongeze nguvu kumtetea maana aliwapa ulaji pamoja nao hawana nguvu yoyote sanasana watafute pa kwenda wamekuwa malaya-malaya tu.Nae ataulizwa si Ni wewe uliyekua mnunuzi mkuu wa hao wabunge wa upinzani?