Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wammalizie mbali huko maana hana faidaKama ndivyo anahitaji protection huyu vinginevyo watammaliza tu...
Na ulinzi anaopaswa kuwa nao si huu tunaoujua wa kibinadamu bali ni wa aliye juu yaani BWANA MUNGU - Yehova...
Otherwise, labda anaweza kuwashinda tu wapinzani wake iwapo miungu yake ina nguvu kuizidi miungu ya anaopambana nao, yaani ya Rais Samia Suluhu na wenzake CCM na serikalini...