Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Hii hapa taarifa yao inajitosheleza neno kwa neno na setensi kwa setensi....

NB;
USAHIHI: Ni maazimio ya kikao cha kamati kuu na siyo Halmashauri kuu ya CCM
Screenshot_20211218-010942.png
 
Polepole na Gwajima wanahoja za kujibu kuna mambo wameropoka.

Ila I wish ningemjua Jerry Slaa nimkochi kuhusu ‘personal tax’ kwa sheria za Tanzania. Wabunge awalipi kodi stahiki huo ndio ukweli wenyewe.

Yaani Kibabaji aongelee kodi mtu ambae hajui hata definition ya income kwa sheria za Tanzania
 
Nakuambia CCM hii iliyokuwa inabebwa na Magufuli? Yaani hawa CCM wakikutana kwenye vikao wanatiana ujinga sana! Kwa taarifa yao Magufuli alikuwa anawabeba na alikuwa mkubwa kuliko CCM subiri majibu watayapata!
CCM ina miaka 44, huyo Magufuli kawa active ndani ya CCM miaka 4 tu then kafa!! Hiyo miaka 40 iliyobaki ilikuwa inabebwa na babu wa Magufuli? Magufuli ndiyo kabebwa na CCM na ikamfikisha hapo alipofikia, CCM ni dubwasha kubwa sana ambalo haliwezi kutikiswa na wewe mchunga ng'ombe, ameshindwa huyo Baba yako utaweza wewe?
 
Jiulize tu haya maswali yafuatayo:
1. NI KWANINI SHEIKH TAKADIR, OSCAR KAMBONA, BIBI TITI, TUNTEMEKE SANGA NA WENGINEO WALIONEKANA MAADUI WA TAIFA? KILIKUWA CHAMA GANI?
2. JE NI KWANINI IMRAN KOMBE ALIUWAWA NA KOLIMBA BAADA YA KUSEMA CHAMA KIMEPOTEZA DIRA NA MWELEKEO HAKUCHUKUA RAUNDI? HAPO SIWATAJI KINA ALHAJI JUMBE WALA MAALIM SEIF NK.
JE KUNA MAHALA POPOTE WALIOIKOSOA TANU AU CCM NA SERIKALI YAKE WALIBAKI SALAMA?
4. KWANINI KINA LISU, MBOWE WALIONEKANA WASALITI KWA TAIFA? NA KABLA YAO ALIKUWA PROFESA LIPUMBA.
Mwisho huo mradi wa umeme wa maji ni upuuzi mwimgine wa kutafuna fedha za nchi kwa kitu ambacho hakina uhakika. Uganda wana mabwawa makubwa waliojenga bado wanalia. Nasikia eti tunataka kuuza umeme Ethiopia yale mabwawa waliyojenga yamekuwaje?
Uliishia darasa la ngapi?
 
Huyu ndio mwenye siri zote za uchafu wa uchaguzi , inaelezwa kwamba kama akakosa ujasiri na akaamua kuweka mambo hadharani aibu itakayofumuka haijawahi kutokea , viapo vyote vya wasaliti amevirekodi na anavyo , na hakuna mwanaccm mwingine aliyenavyo , hii ndio sababu inayotajwa kuwa ilisababisha kuvunjiwa ghetto lake na wakora ili kuambulia chochote
 
Hawezi kuwa motoni, yupo kuume kwa mola wewe
Wewe kazi yako inaishia kulinda kaburi pale nje ya kaburi tu.

Hayo mengine ni kazi ya muumba mbingu na dunia.

Hivyo funga domo lako
 
Kujikosoa ni msingi imara wa taasisi yoyote ile. Maana mnapojikosoa ndio hapo mnajiweka sawa na kujirekebisha.

Kwa muda mfupi tangu hayati JPM atutoke watanzania kwa macho yao wameshuhudia mabadiliko makubwa.

kuna dalili mradi mkubwa kama JNHP hautakamilika kama ilivyopangwa, kuna dalili za rushwa kama za Escrow kurudi kupitia mgao wa umeme, harufu za ufisadi kila kona mbaya zaidi ni hata mwaka haujaisha tokea hayati JPM afariki.

Je kwa mwanaCCM kama Polepole kuhoji na kukosoa haya mabaya yanahochafua serikali na chama cha CCM ni kosa?
NIDHAMU YA CCM NA WANA CCM NI KUKOSOANA NDANI YA VIKAO VYA CHAMA PEKEE HAO WANAOROPOKA ROPOKA HUKO NI WALE WALIOOKOTWA NA KUINGIZWA NDANI YA CCM NA TABIA NA NIDHAMU ZAO NADHANI ZINAONEKANA HAWAKIJUI CHAMA CHETU VIZURI HAWA PIA HAWATUFAI
 
Wewe kazi yako inaishia kulinda kaburi pale nje ya kaburi tu.

Hayo mengine ni kazi ya muumba mbingu na dunia.

Hivyo funga domo lako
Unless wewe ni mtu wa mihemko tu. Hujui kuwa ulitolewa ufunguo kwa Petro? Kwa mantiki hiyo JPM yupo mbinguni amekaa kuume kwa mola wetu.
 
Unless wewe ni mtu wa mihemko tu. Hujui kuwa ulitolewa ufunguo kwa Petro? Kwa mantiki hiyo JPM yupo mbinguni amekaa kuume kwa mola wetu.
Endereeeea kuriinda kabuliiiii
 
Back
Top Bottom