Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So??Kwani CHADEMA haijawahi kuwaita wanachama wake kujieleza na hatimaye kuwafukuza???
Kukosoa iwe kwa nidhamu na siyo kuzusha yasiyokuwepo kana kwamba hao wakosoaji wao ni malaika.Kujikosoa ni msingi imara wa taasisi yoyote ile. Maana mnapojikosoa ndio hapo mnajiweka sawa na kujirekebisha.
Kwa muda mfupi tangu hayati JPM atutoke watanzania kwa macho yao wameshuhudia mabadiliko makubwa.
kuna dalili mradi mkubwa kama JNHP hautakamilika kama ilivyopangwa, kuna dalili za rushwa kama za Escrow kurudi kupitia mgao wa umeme, harufu za ufisadi kila kona mbaya zaidi ni hata mwaka haujaisha tokea hayati JPM afariki.
Je kwa mwanaCCM kama Polepole kuhoji na kukosoa haya mabaya yanahochafua serikali na chama cha CCM ni kosa?
Yapi yanayozushwa?Kukosoa iwe kwa nidhamu na siyo kuzusha yasiyokuwepo kana kwamba hao wakosoaji wao ni malaika.
Yapo mengi. Yatafute utayaonaYapi yanayozushwa?
Anti-matagaWho is he/she by the way?
Ndio nani?Anti-mataga
Wasukuma tulishaamua,, Gwajima ndie rais ajaye 2025,,
Kwa uingi wetu na kwa nafasi nyeti tulizonazo katika mamlaka za nchi,,
Hujui lolote weweSina cha ziada cha kukuambia zaidi ya;
What goes around comes around.
Wito huu ni muhimu sana, kilichobaki ni CCM kuonyesha uwezo wa kuwashikisha adabu.
Ndio maana nikakwambia muulize babaako mambo haya. Wewe huyawezi. Yesu Kristu aliyefariki miaka zaidi ya elfu mbili iliyopita hayupo juu? Mtume Muhammad (SAW) aliyefariki zaidi ya miaka 1400AD hayupo juu?
Jabza zinakufanya unamuwaza sana Lissu kuliko hata unavyomuwaza mume wako.
Wanafikiri imani aliyoitengeza JPM kwa ajili yao bado ipo ndio maana watamba kila kukicha wanajidhihirisha hawako tayari kukosolewa.
Wewe ni wa kuupuza tuWito huu ni muhimu sana, kilichobaki ni CCM kuonyesha uwezo wa kuwashikisha adabu.
Mtu huwezi kumdharau rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM. Najua wote watapiga magoti kuomba msamaha, nashauri kwa Polepole na Gwajima, msamaha wao iwe ni kuchanja hadharani, kisha wawahamasishe wafuasi wao kuchanja. Jerry Slaa asamehewe tuu bila masharti.
P
Tukumbushe kipind chenu cha awamu ya gwara mtu akiwakosoa mlikua mnamfanyaje? Pili.. umesema rushwa zinarud kama za escrow kutokana na mgao wa umeme. Je unashaur chuma kirudi??Kujikosoa ni msingi imara wa taasisi yoyote ile. Maana mnapojikosoa ndio hapo mnajiweka sawa na kujirekebisha.
Kwa muda mfupi tangu hayati JPM atutoke watanzania kwa macho yao wameshuhudia mabadiliko makubwa.
kuna dalili mradi mkubwa kama JNHP hautakamilika kama ilivyopangwa, kuna dalili za rushwa kama za Escrow kurudi kupitia mgao wa umeme, harufu za ufisadi kila kona mbaya zaidi ni hata mwaka haujaisha tokea hayati JPM afariki.
Je kwa mwanaCCM kama Polepole kuhoji na kukosoa haya mabaya yanahochafua serikali na chama cha CCM ni kosa?
Umeongea ukweli kabisa.Wamemtafutia Polepole sababu ya kumfunga mdomo kwa kuwatumia hao kina Gwajima na Silaa kama chambo.
Hapo kitakachofuata Polepole ataambiwa adhabu yake akae kimya miezi sita yuko chini ya uangalizi, awe makini huko kikaoni kama Gwajima alivyofanya na "mic"
Huu ujinga ndio unafurahiwa na wenye mawazo mgando wenye "chama chao".
Hawajui kufungana midomo kunatengeneza taifa la majuha, na vile elimu yetu iko chini, ndio tunaandaa kizazi cha malofa na adui ujinga ataendelea kututesa miaka yote mpaka mwisho wa dunia, CCM ni wajinga sana.
Nachomshauri Polepole kwanza awaambie hao CCM wenzake hajavunja sheria yoyote ya nchi kutoa mawazo yake, pili, afuate taratibu alizoambiwa na TCRA ili arudi hewani, na nyie TCRA mfanye kazi yenu kiuweledi, msijigeuze wanasiasa.
Kujikosoa ni msingi imara wa taasisi yoyote ile. Maana mnapojikosoa ndio hapo mnajiweka sawa na kujirekebisha.
Kwa muda mfupi tangu hayati JPM atutoke watanzania kwa macho yao wameshuhudia mabadiliko makubwa.
kuna dalili mradi mkubwa kama JNHP hautakamilika kama ilivyopangwa, kuna dalili za rushwa kama za Escrow kurudi kupitia mgao wa umeme, harufu za ufisadi kila kona mbaya zaidi ni hata mwaka haujaisha tokea hayati JPM afariki.
Je kwa mwanaCCM kama Polepole kuhoji na kukosoa haya mabaya yanahochafua serikali na chama cha CCM ni kosa?
Wewe huwa una akili sawa?Haya ni matunda ya siasa chafu za Magufuli. Hivyo vuneni mlichokuwa mnashangilia akikipanda. Safari huu sukuma gang mtajua hamjui.