Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Kama ndivyo anahitaji protection huyu vinginevyo watammaliza tu...

Na ulinzi anaopaswa kuwa nao si huu tunaoujua wa kibinadamu bali ni wa aliye juu yaani BWANA MUNGU - Yehova...

Otherwise, labda anaweza kuwashinda tu wapinzani wake iwapo miungu yake ina nguvu kuizidi miungu ya anaopambana nao, yaani ya Rais Samia Suluhu na wenzake CCM na serikalini...
Wammalizie mbali huko maana hana faida
 
CCM is going down the drain.
Juzi tu Polepole na Kaka yake waliwaita Lt. Makamba, Lt. Col Kinana na Membe kwa Nia ovu ya kuwasdhalilisha. Leo hii Polepole kikaangoni.
Mzee wa kutumia dola kubaki kwenye dola aanze kutia maji. Asifikiri Makamba amesahau.
Hayo yaliyomkuta kuondolewa kwenye ulaji Ni mvua ya Rasha Rasha asubiri masika.
 
Lengo ni kuwatisha na kuwanyamazisha.

Wangekuwa fair, hata Bulembo angeitwa na kuhojiwa kwa kumshambulia mwanachama mwenzake.
Bulembo ali pre empty tu tukio lenyewe na majibu au hukumu anayo mkononi. Hawa wote ni intruders kwenye chama hawana madhara yyete
 
Unajua maana ya ujasusi?
Wewe ndio hujui maana ya ujasusi bobezi. Unaongea tu. Jasusi bobezi analalama hovyo hovyo? Jasusi bobezi linagombea Urais likijua haliwezi kupata hata kura mbili? Jasusi bobezi lilishindwa kuzuia "uibaji wa kura" (kama ulikiwepo) katika uchaguzi ambao na yeye ni mgombea? Eti Jasusi Bobezi, my foot!!!
 
Polipoli ashasema hamumtishi na kaubunge kenuchukueni kavipi,simumpe anayethamini iyokazi?
Gwajima nae njaa imemzidi sadaka hazitoshi anakimbilia posho kama mdee nakikundi chake cha wasakatonge
Slaa hanakosa msameheni bure ni ulimbukeni wa kutafuta umaarufu akakutana na mzee kisirani Ayubu kakalia kiti mjengoni...yule ukimpinga anahisi unamdharau vile mfupi
 
Kwani umeambiwa kuwa wanaitwa kwa sababu ya kutoa maneno dhidi ya wanachama wenzao?

Wameitwa kwa sababu ya kwenda kinyume na msimamo wa Rais.
Kwani raisi ni Mungu? kwani kupingwa au kukosolewa raisi ni dhambi? uhuru wa kujieleza maana yake nini?
 
Polepole akihoji kwanini kuna wabunge wasio na baraka na vyama vyao ikitokea yupo nje ya uanachama ataitwa wapi kuhojiwa
 
Back
Top Bottom