Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Waarabu Wanaendelea kufanya Maigizo Wanaonyesha video au taswira ya mtoto MMOJA aliye na ugonjwa wa Genetic ambao kwa kawaida huenea kwa watu walio na uzao wa uzazi mmoja au uko mmoja kama vile Cystic Fibrosis, na wanasema "ana njaa kwa sababu ya Wayahudi" kuzuia chakula huko Gaza wakati siyo kweli. na watu waliochelewa kwenye mitandao ya kijamii wanataka Mia ujinga huo na kukubali Ana na uongo huo.
Hata siku moja Magaidi hawawezi kusema/kuandika Ukweli bali wata sema uongo ili wapata huruma kutoka kwenye Jumuia za Kimataifa huyo mtoto wanayemuonyesha kila siku kwenye mitandao ya kijamii na Aljazeera ni Propaganda tu.
Zaidi ya hayo, wengi wa watoto hawa wanapatikana nchini YEMEN au SYRIA! Ambapo pia wana asilimia kubwa ya kuzaliana na kidinyana ndugu kwa ndugu