Silaha kuu ya Wapalestina na waarabu dhidi ya Israel ni UONGO!!!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waarabu Wanaendelea kufanya Maigizo Wanaonyesha video au taswira ya mtoto MMOJA aliye na ugonjwa wa Genetic ambao kwa kawaida huenea kwa watu walio na uzao wa uzazi mmoja au uko mmoja kama vile Cystic Fibrosis, na wanasema "ana njaa kwa sababu ya Wayahudi" kuzuia chakula huko Gaza wakati siyo kweli. na watu waliochelewa kwenye mitandao ya kijamii wanataka Mia ujinga huo na kukubali Ana na uongo huo.

Hata siku moja Magaidi hawawezi kusema/kuandika Ukweli bali wata sema uongo ili wapata huruma kutoka kwenye Jumuia za Kimataifa huyo mtoto wanayemuonyesha kila siku kwenye mitandao ya kijamii na Aljazeera ni Propaganda tu.

Zaidi ya hayo, wengi wa watoto hawa wanapatikana nchini YEMEN au SYRIA! Ambapo pia wana asilimia kubwa ya kuzaliana na kidinyana ndugu kwa ndugu

Your browser is not able to display this video.



 
Waambie waarabu waache kudinyana ndugu kwa ndugu!!!!!
 
Kweli Echolimai tunaona ukweli wako wafanyakazi wanagoma kusema uwongo kuusu Palestina mambo live akuna chenga!!!
 

Attachments

  • 6071181-1e621afe8ef55fef1f06ba92b4943f85.mp4
    28.5 MB
Wazungu wamechoka kuwa mataga wa uwongo!!!!!!!!!!
 
Kazi kipimo cha utu mzungu kagoma kutumiwa km mfuko ule line lain Shubamit zao Mabosi wa MEDIA
 
Kama wana njaa kweli, Hamas wanapata wapi nguvu za kupigana?

Njia pekee ya hii vita kuisha, ni Hamas wote kujisalimisha; kutokufanya hivyo na wao kuendelea kupigana, ina maana wako tayari kwa vita kuendelea.

Njia ya kuzuia misaada isiweze kuingia Gaza, ilikuwa na lengo la Hamas waweze kujisalimisha kutokana na njaa iliyopo.

Kutokana na itikadi waliojengewa, wanaona bora wafe kwa njaa huku wakipigania ardhi; bila kujua uhai una umuhimu zaidi kuliko ardhi.​
 

Hawa jamaa wanaoana wao kwa wao. Huwa si issue kwao kuoana wao kwa wao.
 
Ila Israel ilisema inawapluni hamas chap chap ...
 
Am
Kwa hiyo Yale majengo waliyaangusha kwa makombola Yao wenyewe?

Unafahamu ghaza imewekewa blockade ya majini na ardhini?

Unafahamu Kuna uhaba wa chakula na kila kitu?

Kweli mtu mweusi ni Mjinga wa mwisho
Amka usingizin mzee hamasi wameshinda vita nan kakwambia wamezingirwaa? Aau ujawaskia faiza na ritz na webabu wanatoaa ushuhuda hamas wameshinda vita? hv kwanini nyie wayahud wa kwa mtoro hampendi kusema ukwelii, siye tunachojua hzo ni propoganda saiv marekan anamwombea msamaha israell ili vita iishe
 
Sehemu gani niliyoandika Hamas kashinda vita?
Kama ipo hiyo sehemu embu nionyeshe?
Na nilivyosema wameshinda vita kwa mfumo upi?
Tactical au kitu gani?

Mimi Sina huruma na Waarabu, Wayahudi Hadi Wazungu ila tujifunze kusema kweli.
 
Sehemu gani niliyoandika Hamas kashinda vita?
Kama ipo hiyo sehemu embu nionyeshe?
Na nilivyosema wameshinda vita kwa mfumo upi?
Tactical au kitu gani?

Mimi Sina huruma na Waarabu, Wayahudi Hadi Wazungu ila tujifunze kusema kweli.
Kunamahili nimekwambia umesemaa hamasi kashinda vitaa to u🙉 hapa soma uelewe
 
Kweli Echolimai tunaona ukweli wako wafanyakazi wanagoma kusema uwongo kuusu Palestina mambo live akuna chenga!!!
Ujinga tu unawasumbua huwezi kumlazimisha mwenye kampuni nani amuuzie na nani asimuuzie bidhaa zake!!!
 
Ujinga tu unawasumbua huwezi kumlazimisha mwenye kampuni nani amuuzie na nani asimuuzie bidhaa zake!!!
Tatizo wafanyakazi wanabanwa mno!!

Na pia wanawachunguza kupitia Account zao kwenye mitandao !!!!

wanataka wote wawe proo Israel Ukigundulika kupost jambo kinyume na maslai ya Israel unatakiwa ukajieleze !!!!

Sasa uhuru wa mtu upo wapi!!!

Wazungu wauni tu. ,
 
Hahaha hapa Tanzania Wauza unga huwa wanatudanganya kwamba wanafuga majini yana waletea pesa.
Wanatuambia wanalindwa na majini.

Hayo maji huwa haya wasaidii waarabu wa huko Palestina? Yapeleke pesa, vyakula na ulinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…