Silaha na askari wamiminika mipakani mwa Israel. Biden ashtushwa. Aenda Israel mwenyewe huku akitaka Palestina wapewe nchi yao

  1. US President Joe Biden will visit Israel on Wednesday to be briefed on its plans for war against Hamas militants
  2. Biden will hear from Israel how it will conduct its operations in a way that "minimises civilian casualties", the US says
 
Toka Hamas wakiwashe,paliangaziwa mambo mawili tu,waisrael wafie ndani au wahamishwe.

Kwa Nini waliliona Hilo?Hamas na washirika wao hawatotaka kusikiliza la muadhini Wala la mnadi swala mpaka kieleweke.
 
Huo Ni uwongo ndugu, Israel ipo mbele ya Russia kwa tech za drone Hilo liko bayana.
 
Tulisema HAMAS hawezi kwenda kumchokonoa sehemu za kukalia za Israel.


Wapo watu nyuma ya hao jamaa
 
Waache wajinga wafarijiane maisha yamebana
 
Kama wa mama'ke Yesu eeh?
Ezekiel 38
18 Itakuwa katika siku hiyo, Gogu atakapokuja kupigana na nchi ya Israeli, asema Bwana MUNGU, ghadhabu yangu itapanda katika mianzi ya pua yangu.
19 Kwa maana katika wivu wangu, na katika moto wa ghadhabu yangu, nimenena, Hakika katika siku ile kutakuwako tetemeko kubwa katika nchi ya Israeli;
20 hata samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama wa kondeni, na vitu vyote vitambaavyo juu ya nchi, na wanadamu wote walio juu ya uso wa nchi, watatetemeka mbele ya uso wangu; nayo milima itatupwa chini, na magenge yataanguka, na kila ukuta utaanguka chini.
21 Nami nitaita upanga, uje juu yake katika milima yangu yote, asema Bwana MUNGU; nao upanga wa kila mtu utakuwa juu ya ndugu yake.
22 Nami nitamhukumu kwa tauni, na kwa damu; nami nitanyesha mvua ifurikayo, na mvua ya mawe makubwa sana, na moto na kiberiti juu yake, na vikosi vyake, na watu wa kabila nyingi walio pamoja naye.
23 Nami nitajitukuza, na kujitakasa, na kujidhihirisha, mbele ya macho ya mataifa mengi; nao watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana.
 
Msikilize waziri mkuu wa Uyahudi wa zamani alisema nini:
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…