FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujiliwaza.hao watauawa kama kuku, naomba israel afanye kazi yake.
hao hawamtishi israel hata nukta. hata hawezi kupoteza usingizi.Endelea kujiliwaza.
Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha.
'Very clear' Iran is moving people, weapons to Israel's northern border: Benjamin Hall
Hali hiyo inaonekana kumshtusha rais Joe Biden wa Marekani na kumfanya afunge safari haraka kuelekea Israel ikiwa ni siku moja tu tangu kukamilika kwa ziara ya mjumbe wake wa ngazi za juu,Anthony Blinken inayoonekana kutibua zaidi hali ya hewa katika eneo hilo.
The US is mounting a frantic effort to head off a wider Middle East war
Suala la kujiuliza jee Israel itasikiliza nasaha za kuacha ubabe na kurudisha nchi ya watu au watachagua kunyeshewa na mvua ya droni za Shaheed zile zinazoitesa Ukraine ?
View attachment 2784165
Tony Blinken wakati akiondoka Cairo baada ya mazungumzo na raisi Elsisi.
Endelea kujiliwaza, vipi saa 24 zake alizotowa zimefikia ngapi sasa hivi?hao hawamtishi israel hata nukta. hata hawezi kupoteza usingizi.
tunapata shida kuvamia kwasababu tutauwa raia, sisi huwa tunajali raia.Endelea kujiliwaza, vipi saa 24 zake alizotowa zimefikia ngapi sasa hivi?
washabiki wa timu ile utawaona hadi uku mpoSi rahisi, mara ya mwisho Myahudi alitandikwa vibaya sana na Hezbollah wa Lebanon, rudia homework yako.
Huo Ni uwongo ndugu, Israel ipo mbele ya Russia kwa tech za drone Hilo liko bayana.Kuchakaza ni kazi ya ndege za kivita kama F16 na lazima utokee angani au urushe mizinga kutoka ardhini.Vita hivyo kwa sasa kama viko nyuma kidogo ya wakati.Ogopa vita vya droni.
Droni hazina vishindo na zinanyemelea angani kwa muda mrefu kama kipanga.Urusi ina teknolojia iliyoendelea zaidi kuliko Israel na bado kuna muda droni za Ukraine zinapenya.Jee Israel inataka iingie mapigano hayo ilhali miji yake yote iko karibu sana na maadui zake.
Tulisema HAMAS hawezi kwenda kumchokonoa sehemu za kukalia za Israel.Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha.
'Very clear' Iran is moving people, weapons to Israel's northern border: Benjamin Hall
Hali hiyo inaonekana kumshtusha rais Joe Biden wa Marekani na kumfanya afunge safari haraka kuelekea Israel ikiwa ni siku moja tu tangu kukamilika kwa ziara ya mjumbe wake wa ngazi za juu,Anthony Blinken inayoonekana kutibua zaidi hali ya hewa katika eneo hilo.
The US is mounting a frantic effort to head off a wider Middle East war
Suala la kujiuliza jee Israel itasikiliza nasaha za kuacha ubabe na kurudisha nchi ya watu au watachagua kunyeshewa na mvua ya droni za Shaheed zile zinazoitesa Ukraine ?
View attachment 2784165
Tony Blinken wakati akiondoka Cairo baada ya mazungumzo na raisi Elsisi.
Vichekesho vya bibi 🦊Hapo lazima wayahudi waufyate, kama walivyoufyata toka juzi.
Waache wajinga wafarijiane maisha yamebanaHiyo lebanon itachakazwa na kuwa ukanda wa Gaza...!
Hakuna mtu ana taka kununua ugomvi ili kwake kuwe uwanja wa vita!
USA mwenyewe hapigan kwake ni anakufata huko huko sababu anajua shida ya kuwa uwanja wa vita
Hii Lebanon hawezi kukubali kuwa kama Syria, Iraq, Afghanistan nk
Nikajua mie tu niliona mitutu inaelekea juu ya bodaboda kama singeWatafanya Nini Hawa wanaokimbia na bodaboda kushambulia watu?
Ezekiel 38Kama wa mama'ke Yesu eeh?
Ni aibu, Sudan kupereka majeshi kumsaidia Palestina, Si hawa hawa ndio bado wanachinjana na Janjaweed wao kwa wao. sasa uwezo wa kumsaidia mjahidine or mfia dini Mwenzao wameupata wapi. Tuwaache wafu wazikane.