Kuchakaza ni kazi ya ndege za kivita kama F16 na lazima utokee angani au urushe mizinga kutoka ardhini.Vita hivyo kwa sasa kama viko nyuma kidogo ya wakati.Ogopa vita vya droni.
Droni hazina vishindo na zinanyemelea angani kwa muda mrefu kama kipanga.Urusi ina teknolojia iliyoendelea zaidi kuliko Israel na bado kuna muda droni za Ukraine zinapenya.Jee Israel inataka iingie mapigano hayo ilhali miji yake yote iko karibu sana na maadui zake.