Silaha na askari wamiminika mipakani mwa Israel. Biden ashtushwa. Aenda Israel mwenyewe huku akitaka Palestina wapewe nchi yao

Silaha na askari wamiminika mipakani mwa Israel. Biden ashtushwa. Aenda Israel mwenyewe huku akitaka Palestina wapewe nchi yao

Ni aibu, Sudan kupereka majeshi kumsaidia Palestina, Si hawa hawa ndio bado wanachinjana na Janjaweed wao kwa wao. sasa uwezo wa kumsaidia mjahidine or mfia dini Mwenzao wameupata wapi. Tuwaache wafu wazikane.
Mi,naona aibu pale nchi inapojinasibu duniani kuwa na jeshi na upelelezi Bora kupigwa counteroffensive mchana peeee🤣🤣🤣
 
Kuchakaza ni kazi ya ndege za kivita kama F16 na lazima utokee angani au urushe mizinga kutoka ardhini.Vita hivyo kwa sasa kama viko nyuma kidogo ya wakati.Ogopa vita vya droni.
Droni hazina vishindo na zinanyemelea angani kwa muda mrefu kama kipanga.Urusi ina teknolojia iliyoendelea zaidi kuliko Israel na bado kuna muda droni za Ukraine zinapenya.Jee Israel inataka iingie mapigano hayo ilhali miji yake yote iko karibu sana na maadui zake.
Ili mradi kujifurahisha tuu, yaani Russia anatech nzuri kuzidi Israel wakati Israel ndio mvumbuzi wao? [emoji38]
 
Back
Top Bottom