ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi,naona aibu pale nchi inapojinasibu duniani kuwa na jeshi na upelelezi Bora kupigwa counteroffensive mchana peeee🤣🤣🤣Ni aibu, Sudan kupereka majeshi kumsaidia Palestina, Si hawa hawa ndio bado wanachinjana na Janjaweed wao kwa wao. sasa uwezo wa kumsaidia mjahidine or mfia dini Mwenzao wameupata wapi. Tuwaache wafu wazikane.
Ili mradi kujifurahisha tuu, yaani Russia anatech nzuri kuzidi Israel wakati Israel ndio mvumbuzi wao? [emoji38]Kuchakaza ni kazi ya ndege za kivita kama F16 na lazima utokee angani au urushe mizinga kutoka ardhini.Vita hivyo kwa sasa kama viko nyuma kidogo ya wakati.Ogopa vita vya droni.
Droni hazina vishindo na zinanyemelea angani kwa muda mrefu kama kipanga.Urusi ina teknolojia iliyoendelea zaidi kuliko Israel na bado kuna muda droni za Ukraine zinapenya.Jee Israel inataka iingie mapigano hayo ilhali miji yake yote iko karibu sana na maadui zake.
Unajidanganya kienyeji hivyoo,Si rahisi, mara ya mwisho Myahudi alitandikwa vibaya sana na Hezbollah wa Lebanon, rudia homework yako.
Juzi aliyeufyata nani, kati ya hao wanaolalalmika kila kukicha na hao wayahudi wababe wa dunia!?Hapo lazima wayahudi waufyate, kama walivyoufyata toka juzi.