Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO.

NATO sasa inawaza kuachana na vita dhidi ya Urusi, hawaiwezi, wamekiri wenyewe kuwa mataifa yoooote ya ulaya na Marekani.

yanaiogopa Urusi, yaani NATO ni kwaajili ya Russia tu.

 
Silaha za kirusi zilizofanya vizuri Ni pamoja na Iskander missiles,
Kalibre missiles,
Terminator mfano wa kifaru.
Bila kusahau
Russian Navy japo hiyo kalibre hutoka humo.
Pia hatuwezi kupuuza uwepo was kazi mzuri zinazoendelea kufanywa na mifumo ya Ulinzi wa anga Russian S 300 PMU,na s400
Lakini Kuna zile zilizofanya vibaya Sana Eg vifaru model ya T 72 ambacho Ni kizazi Cha tatu Cha vifaru .
Ukiachana na Hilo kina model hii ya kifaru inaitwa t90 imeendelea kufanya vizuri Mashariki mwa Ukraine licha ya uwepo was JAVELIN Anti Tank Missiles
 
Hujakosea! Nimeona zilivyobadiri upepo kule Syria, na nashuhudia hapo Ukraine.
Hakuna nchi sasa hivi inataka tena mfumo wa ulinzi wa Marekani. Baada ya vita ya Syria uturuki ilifuta deal la kununua mifumo ya ulinzi ya kimarekani ikanunua ile ya Urusi. Silaha zinazopelekwa Ukraine na NATO wanashitukia zinawaka moto zote wakati kuna mifumo ya ulinzi madhubuti ya kisasa ya Marekani.
 
Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi.
Tutajie hizo silaha za Nato zilizoonyesha uwezo mdogo.

'Javelin' ndio kiboko ya vifaru ya Warusi, vingi vimeishia kugeuka vyuma chakavu hapo Ukraine.
T14 Armata
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    7.6 KB · Views: 21
Kuna ushabiki na uhalisia ,hii thread unaongea ushabiki na sio uhalisia ulivo.Ukweli ni kwamba NATO chini ya USA ni moto wa kuotea mbali na Urusi anawaogopa hao NATO .Na ukweli ni kwamba pamoja na Ukureine kuhalibiwa miundombinu yake lakini kwa msaada anapewa na NATO under USA hii vita atashinda na huu ndiyo unaenda kuwa mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Acha muda utatupa majibu ni nani kati ya NATO na Urus aliye na silaha Bora .
Tena kumbuka Hawa NATO chini ya USA ndiyo wanaongoza Dunia mifumo yote ya kuendesha Dunia wanayo wao iwe kijeshi,kiuchumi,na hata kitamaduni.Kwa Hali hiyo hii vita watamshinda Mrusi.
Unaweza bisha lakini huu ndiyo ukweli.
 
Ulikuwa unafaulu vipi mitihani ase
Msafara haukusambaratishwa wote Bali baada ya kuona Hali ya Vita yaani Ukraine kuleta upinzani wa kutosha ndipo Russia walipogeuza msafara wao kurudi Mashariki wanapofanikiwa mpaka leo.
I'la hata hivyo Hili halizuii kusema ukweli Kwamba warusi walipoteza silaha na watu wengi zaidi Kyv na Kharkiv kuliko ilivyo na inavyoendelea kupoteza watu Mashariki mwa Ukraine. Mfano katika siku ya pili na ya kwanza warusi walipoteza ndege zilizobeba Paratroopers. Hizi xilikua Ni Aina ya Ilyushin 76 zikiwa na vijana 100+ kila moja. Pia helicopter Kama ka -50 zilipotea nyingi zaidi kuliko baada ya wao kuwithdraw huko.
Happo kyv na Kharkiv walikutana na Javelin zilizoyeyusha vyuma vha vifaru t 72 vikabaki na uchakavu was rangi Kama bati za kwa mtogole kule manzese tz.
Tofauti na kipindi kile Leo warusi wameshajua Ukraine wanna nguvu na morali kubwa kimapigano. Mbinu za kivita zimebadilika hawapotezi Tena vifaru kirahisi, hawapotezi ndege kirahisi hawapotezi helicopter kirahisi . Hata hivyo waukren wamechoka Sana. Javelin iliyosifiwa Ni nzuri kiufanisi lakini kuibeba vitani Ni mtihani.
Lakini pia silaha mpya za kutisha Kama ile iitwayo TOS imekuwa ikivurumisha roketi asubuhi Hadi jioni kule Donbass.
Mpaka leo inasemekana waukraine wamekua wakivurumisha round 6000 za makombora na amunition wakati Russia wanavurumisha round 60000 kuelekea maadui.
Lakini si TU kubadilika kwa mbinu huko Mashariki mwa Ukraine silaha mpya za kirusi Ni nyingi . Humo imeshuhudiwa modernized T 90 kifaru mahiri kabisa kivita bill kusahau Aina Fulani ya mashine Kama kifaru wait huiita Terminator imeendelea kuumiza vijana was Ukraine.
 
Back
Top Bottom