Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Bila silaha za magharibi. Kyiv ingetekwa ndani ya siku tatu hadi nne.
bila silaha za magharibi Israel isingeshinda vita na mataifa ya waarabu ndani ya siku sita
.
Bila silaha za Magharibi marekani asingekua na uwezo wa kua na historia ya kupigana na mataifa zaid ya 100+.
Bila silaha za magharibi Taiwan ingeshachukuliwa na china kesho tu asubuhi.
Bila silaha za magharibi kusingekua na korea mbili kaskazin na kusini.
Bila silaha za magharibi Andunje asingetishia kutumia Nukes.
Malizia Bila nyingine unayoijua wewe.