Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

Niamini mimi, ile safari ya Mais wa Ujerumani, Ufaransa, Italy na Romania kwenda Ukraine ni kwa lengo la kusitisha mapigano, yaani wamekwenda kumwambia Zelensky aache utoto atakufa bure na miji yake itaendelea kupondwapondwa na Mrusi.

Bora waombe POO😂😂😂😂😂
 
#Iran and #Russia signed a memorandum of understanding today concerning the establishment of mutual trade centers. https://t.co/6TBlycD3zW

One center will be located in the Iranian capital, Tehran, and the other in Russia’s Baltic port city St. Petersburg. They will facilitate trade between the two countries in the energy, transportation, electronics, agriculture, food, pharmaceuticals and construction sectors.
20220618_001320.jpg
 
Kuna ushabiki na uhalisia ,hii thread unaongea ushabiki na sio uhalisia ulivo.Ukweli ni kwamba NATO chini ya USA ni moto wa kuotea mbali na Urusi anawaogopa hao NATO .Na ukweli ni kwamba pamoja na Ukureine kuhalibiwa miundombinu yake lakini kwa msaada anapewa na NATO under USA hii vita atashinda na huu ndiyo unaenda kuwa mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Acha muda utatupa majibu ni nani kati ya NATO na Urus aliye na silaha Bora .
Tena kumbuka Hawa NATO chini ya USA ndiyo wanaongoza Dunia mifumo yote ya kuendesha Dunia wanayo wao iwe kijeshi,kiuchumi,na hata kitamaduni.Kwa Hali hiyo hii vita watamshinda Mrusi.
Unaweza bisha lakini huu ndiyo ukweli.
Hujataka kuandika maelezo marefu, short and clear. Umeeleweka vyema kabisa. NATO ndio mwenye maamuzi juu ya vita hii. Hatujui NATO anawaza nini ila kile anachokitaka kitatimia tu.
 
Watu wanataka ubora wa silaha wewe unaleta uwingi
PUA NATO
Ubora!! damn man!!

Air superiority Stealth technology??

F22 raptor (US) vs Su-37(russia) ???

Though f22 is older, achana na kila kitu including size, weight, speed, missilies used, payloads, range, ceiling height, etc

Consider one criteria, their radar technology.

RCS: F22 0.001 msq wakati RCS ya SU-37 ni 0.1 msq

This means at 500km range in a war fight, F22 sees you as a plane and shoots you down first while at 500km range, SU-37 anamuona F22 kama kandege au nyuki au ball bearing sababu ya Radar cross section area, RCS.

In a more clear way,
Range ya S-400 ni km 400, s400 inaona aircraft zenye RCS 4 so inaweza kumrecognize f22 at <30km bila jamming za f22 ah EW au any assistance.

On the other hand f22 inaweza ku geolocate s400kwa umbali wa <110km and shoot a missile.

With F22 na F-35 and B-2 kama 100 hivi USA anaweza kumiliki anga lako within hours uku ukiwa bize na Abraham tanks on the ground.

USA ana F22 like 184+, russia like 12 hivi. Kwahiyo ndani ya saa chache US anamiliki nhi yako kutoka angani.

Forget F35-lightning II, B-2 bomber stealths fighters!!
 
Kaka hakuna taifa linataka patriots tena ya kimarekani. Kaka huko Uarabuni walikuwa wanatumia silaha ya magharibi kama ufaranza na uingereza na soviet ileeee. Urusi ya sasa sio kama ile ya kisoviet, imeboresha vyuma vyake. Marekani iliiandaa Ukraine kupigana tangu 2014 kwa kupeleka silaha za kisasa kabisa na kuendesha mafunzo ya hali ya juu na kujenga vituo vya kisasa kabisa vya kijeshi. Vituo vyote vile vimepigwa na Mrusi kama mchezo tu. Kule Kyiv alishambulia maeneo muhimu tu ya kimkakati ya marekani kama vile bohari za silaha, kambi za mafunzo na viwanja vya ndege baaasi. Mifumo ya ulinzi ya kimarekani inashindwa kutambua na kuzuia missiles za Urusi, wanashitukia moto unawaka kwenye targets.

Kaka Urusi iko mbele kwenye IT kuliko marekani, anaweza kuzima satellites zote za marekani na kusababisha hali mbaya sana kwenye uwanja wa vita upande wa adui. Urusi inaweza kuingilia mifumo ya marekani ya mawasiliano na taarifa. Vita imemchukua Mrusi muda mrefu kwako nia yao sio vita bali ni special operation ya kusaidia majimbo yenye watu wanaoongea kirusi kule Donmbass. Kama ingekuwa vita basi angeweza kuteka Ukraine yote ndani ya siku 3 tu, ila hapendi kuiharibu sana ukraine kwakuwa sio nia yake, hataki kuua watu na ndio maana anatumia high precision missiles kulenga targets tu baasi.

Majenerali kufa. idadi mbaya ya askari kufa mashambulizi ya kiholela kushindwa kuichukua kyiv.
matumizi ya javelin dhidi ya maelfu ya vifaru.
ni ushahidi tosha.
hizi porojo hazitakusaidia istoshe fatilia soko la silaha Duniani mwaka 2021/2022 zimetoka ingia mtandaoni utaona
 
Hujataka kuandika maelezo marefu, short and clear. Umeeleweka vyema kabisa. NATO ndio mwenye maamuzi juu ya vita hii. Hatujui NATO anawaza nini ila kile anachokitaka kitatimia tu.
Mkuu unaikuza mno NATO, NATO inashindwa vita na vinchi Kama Vietnam na afghastan itaonandani kwa Russia 🤣🤣🤣‼️
 
India mwezi huu imechochea program yake ya kuongeza idadi ya fighter jets zisizozidi 114 kwa gharama ya dola bilioni 20 za Marekani. Kati ya ndege tano top contenders hakuna ndege ya Urusi. Ndege mbili za Boeing ya Marekani, Dassault Rafale ya Ufaransa, Lockheed Martin ya Marekani, Saab ya Sweden, consortium ya Europe wametinga na Eurofighter Typhoon yao. Russia imeleta Su-35 na Mig-35 zao ila hazipewi nafasi kubwa ingawa ndio zina bei ndogo zaidi.

India wana ndege za Urusi nyingi na wanaachana nazo taratibu, hata hii stealth Su-57 walianza nayo kipindi inaitwa PAK FA ila wakajiondoa baada ya gharama kupanda, specs kuwa tofauti na delays, wakaiacha Russia yenyewe. Mwaka 2019 waliagiza Dassault Rafales 36 baada ya mgogoro wa mpakani na China kwenye eneo la Ladakh. Kwanini hawakuongezea idadi ya Su-30MKI tena ambazo Hindustan pale India inaweza tengeneza components nyingi kulingana na mkataba maana MKI ni modification ya India tu. Rafale inapewa nafasi kubwa zaidi

India mwaka huu wamepiga chini mkataba wa kuongeza Kamov Ka-31 helicopters 10 za Urusi kwa ajili ya Navy yao, wakati huo procurement ya helicopters za Marekani inafanyiwa kazi. Kati ya ndege 114 hizo za future program India wanataka navy jet kwa ajili ya aircraft carrier yao. Kwahiyo hapo Russia hana chake, hapo kuna contenders wawili: Dassault Rafale na Boeing Super Hornet.

Tuachane na India ambayo ndio top Russian weapons importer duniani, twende kwa Egypt ambayo ndio top Russian weapons importer in Africa na Middle East, na wana ndege aina nyingi sana wanachanganya hawa sijui huwa wanawezaje maintenance. Egypt wana Rafales baada ya kuzipima dhidi ya Mig-29 wakagundua Mig-29 (ambazo waliagiza ziwe modified zije Mig-35 ila wakapewa Mig-29M2) na PESA radar yake haizidi Rafale. Na wamepunguza order quantity ilimradi wasivunje mkataba waliosaini 2018 kununua Su-35.

Indonesia mwaka jana iliachana na ndoto za Sukhoi wakati ilishatenga hela ikachukua Boeing F-15 kwa sababu hiyohiyo ya PESA radar kwenye karne hii.

Algeria ambayo ni ya pili kwa kununua silaha za Urusi hapa Afrika imeachana na Su-35 kisa PESA radar mwaka huu huu. Watu wanataka AESA wewe unawaletea Erbis-E radar ambayo ni PESA leo 2022 wanunua ndege wakae nazo miaka 30, wakitaka modifications uwapige hela tena.

Mikoyan ilianza hivihivi haifanyi investment kwenye modifications na new weapons systems, sasa naona na Sukhoi inaelekea ukouko. Hao wanunuaji wa hizo silaha wako wapi?

Kwanza nani kaona St. Petersburg Economic Forum iliyofunguliwa leo? Hawa team Moscow ukute hawajui hata uwepo wake wakati ndio Davos ya Urusi, viongozi waliokuwepo leo ni kina Armenia, Kazakhastan, Belarus na Mtaliban alikuwepo. Uache biashara na Canada ukafanye na Taliban si utaishia kuwauzia majambia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na mtaliban na Belarus
 
Kaka hakuna taifa linataka patriots tena ya kimarekani. Kaka huko Uarabuni walikuwa wanatumia silaha ya magharibi kama ufaranza na uingereza na soviet ileeee. Urusi ya sasa sio kama ile ya kisoviet, imeboresha vyuma vyake. Marekani iliiandaa Ukraine kupigana tangu 2014 kwa kupeleka silaha za kisasa kabisa na kuendesha mafunzo ya hali ya juu na kujenga vituo vya kisasa kabisa vya kijeshi. Vituo vyote vile vimepigwa na Mrusi kama mchezo tu. Kule Kyiv alishambulia maeneo muhimu tu ya kimkakati ya marekani kama vile bohari za silaha, kambi za mafunzo na viwanja vya ndege baaasi. Mifumo ya ulinzi ya kimarekani inashindwa kutambua na kuzuia missiles za Urusi, wanashitukia moto unawaka kwenye targets.

Kaka Urusi iko mbele kwenye IT kuliko marekani, anaweza kuzima satellites zote za marekani na kusababisha hali mbaya sana kwenye uwanja wa vita upande wa adui. Urusi inaweza kuingilia mifumo ya marekani ya mawasiliano na taarifa. Vita imemchukua Mrusi muda mrefu kwako nia yao sio vita bali ni special operation ya kusaidia majimbo yenye watu wanaoongea kirusi kule Donmbass. Kama ingekuwa vita basi angeweza kuteka Ukraine yote ndani ya siku 3 tu, ila hapendi kuiharibu sana ukraine kwakuwa sio nia yake, hataki kuua watu na ndio maana anatumia high precision missiles kulenga targets tu baasi.
Urusi inayojifanya Ina mifumo mizuri pride yake Moskva ingepitiwa kirahisi na wa Ukrein [emoji1]
 
Urusi anakwambia yeye wao hawako kwenye vita na Ukraine bali wana special operation ya kuwalinda wanaozungumza Kirusi nchi Ukraine ambao wanaangamizwa na Ukraine kwa msaada wa nchi za Magharibi na Marekani. Kama ingekuwa vita angeshaitwaa Ukraine siku nyingi sana. Sikiliza hapa na mkwara wake kwa Uingereza
We unataka asemeje yaani upoteze Maelfu ya wanajeshi, upoteze Generals wakutosha, upoteze meli ya ma million ya Dollars, upoteze Tanks, Armed cars,afu useme special operation, Tena kwa miezi 3, bado unapambana
 
Ubora!! damn man!!

Air superiority Stealth technology??

F22 raptor (US) vs Su-37(russia) ???

Though f22 is older, achana na kila kitu including size, weight, speed, missilies used, payloads, range, ceiling height, etc

Consider one criteria, their radar technology.

RCS: F22 0.001 msq wakati RCS ya SU-37 ni 0.1 msq

This means at 500km range in a war fight, F22 sees you as a plane and shoots you down first while at 500km range, SU-37 anamuona F22 kama kandege au nyuki au ball bearing sababu ya Radar cross section area, RCS.

In a more clear way,
Range ya S-400 ni km 400, s400 inaona aircraft zenye RCS 4 so inaweza kumrecognize f22 at
On the other hand f22 inaweza ku geolocate s400kwa umbali wa
With F22 na F-35 and B-2 kama 100 hivi USA anaweza kumiliki anga lako within hours uku ukiwa bize na Abraham tanks on the ground.

USA ana F22 like 184+, russia like 12 hivi. Kwahiyo ndani ya saa chache US anamiliki nhi yako kutoka angani.

Forget F35-lightning II, B-2 bomber stealths fighters!!
Labda akiwa anapigana na LIBYA kama yote hayo anayo anangojea nini kuwahami wa UKRO NAZI kama alivyofanya kule LIBYA nk
Hapo UKRONAZI waliiomba hio No Action Talk Only (NATO)
waeke No Fly Zone mpaka leo umeona nini !!?
Ukitoa kifo NATO wanaiogooa RUSSIA kuliko chochote kile
 
Back
Top Bottom